Ngoja nikupe shule kidogo ndugu yangu hii ni sawa na ile ya mhitimu wa kidato cha nne ili awe na sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,lazima awe ufahulu wa pass tano.Katika hizo pass tano,awe na D 2,C 3 ambazo ni credits, jumla yake ni tano.Huo ni ufahulu wa chini kabisa wanao uhitaji.Kama ikitokea amepata A 2,akapata tena na D 5,Bado hana sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha sita.ilibidi apate credit 3,ambayo inaanzia C,B,A,na Pass mbili ambazo ni D 2.Ukisikia mtu ana resit kidato cha nne either kapungikiwa na credit 1,2 au zote kwa pamoja.
Mfano wa pili ni pale ukitaka ku join certificate, vyuo vingi vinataka ufahulu katika masomo 4,angalau uwe na D 4,moja lila somo.Ikitokea ukawa na A mbili alafu masomo mengine ukawa na F,bado huna vigezo vya ku join certificate. Itakubidi u resit kutafuta pass mbili ambazo ni D mbili kwa kila somo.Ili kwa kuunganisha A zako mbili za matokeo ya kwanza na D zako mbili za mtihani wako wa pili,jumla utakuwa na pass zako nne na utakuwa na sifa ya ku join certificate.
The same applied kwa matokeo ya kidato cha sita.lazima ufahulu masoma mawili kuanzia D,zinazokupa points 4.Nadhani utakuwa umeelewa...!