Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,859
Naombeni msaada paka wangu mdogo ana mafua
Nimpatie dawa gani wakuu?
Nimpatie dawa gani wakuu?
😅yn hapo kwanza ucheke..Ngoja nitabasamu kwanza mkuu😃
Why mcheke??[emoji28]yn hapo kwanza ucheke..
Nikama jambo lakustaajabisha lkn jamaa yupo cylias.
Jaribu kwenda ktk maduka ya madawa ya mifugo Miss Natafuta