Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Aluta Continua. If we die we dieMpango wa kuacha mapenzi sina, japo yameniotea yakanichapa hatari mpaka nikadata,
Ila hayo mapenzi yajage tu yaniue yataamua yenyewe yazike ama yasafirishe..!

Mpaka mbususu inuke nyama chomaHaha..!
Wooii kwani iko nini..?
Ikipoa tunabandua kisha tunabandika 'ingine'..!
Kha besty yaani ndio yamekuwa hayo tena wakati mie nimekusaidi kupunguza machungu ya mapenzi ya handsome boyLabda mdogo wake ila sio yeye![]()
Mimi nafatisha maneno yako ujue mzee wa mbususuKha besty yaani ndio yamekuwa hayo tena wakati mie nimekusaidi kupunguza machungu ya mapenzi ya handsome boy

Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,
Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari
Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu
Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Alafu nyie mnajidai kwenda kwa hao ambao sio wazee wa mbususu lakini ndio mkishaliwa huko mnakuja jf kulia lia. Sasa sii bora tuu ugeggedwe na mzabzabMimi nafatisha maneno yako ujue mzee wa mbususu![]()
Alafu nyie mnajidai kwenda kwa hao ambao sio wazee wa mbususu lakini ndio mkishaliwa huko mnakuja jf kulia lia. Sasa sii bora tuu ugeggedwe na mzabzab

wasio wazee wa mbususu wengi wamezubaa bwana hatuwataki haoUnavyonekana mtamu hivyo unataka kuwabania wenzio mapenzi eeh!!??Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,
Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari
Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu
Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Ah kumbe mnawapenda wazee wa mbususu ila ndio hivyo mkubali maumivu ya moyo🤣🤣🤣🤣wasio wazee wa mbususu wengi wamezubaa bwana hatuwataki hao
Ah kumbe mnawapenda wazee wa mbususu ila ndio hivyo mkubali maumivu ya moyo![]()
wazee wa mbususu wanajua kazi hawajakaa kizembeHaya sasa ndio maneno...tunaipelekea moto mbususu hadi rahawazee wa mbususu wanajua kazi hawajakaa kizembe
Ulianza mahusiano na huyo counselor?Nakumbuka kipindi nolivo kua na depression kama hiyo niliamua kuachana namapezi angalau kwa miaka mitatu, nikapata pschological counselor, kutoka office fulani ila ndani ya miezi mitatu tulianza mahusiano nae, tena yalikua ya moto hata kuliko ya awali, so napenzi ni sehemu ya maisha ya mtu.
Ndiyo wakati alikuja kunipa nasaha ya kuacha mapenzi umizaUlianza mahusiano na huyo counselor ??
😂😂😂👉👉👉👉Ndiyo wakati alikuja kunipa nasaha ya kuacha mapenzi umiza
Samahani lakini ntakuwa tofauti na mawazk yako kwakuwa kila mtu Ana uhuru wa kutoa maoni nami nitatoa yqngu ...... kwanza Pole na maswahibu yakiyokupata lakini nimejarib kuwaz pengine mapenzi siyo tatizo ila wewe ndo tatizo inawezwkana wewe ni aina ya wanawake wanao tafta aina flani ya wanaume wenye uewzo kifedha yani aina ya wanaume unao toka nao unawakubalia kwasababu fulani .... au wewe ni mwanamke unaye chagua sana wanaume umejiweka katika level fulani.Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,
Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari
Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu
Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Unachopaswa ni kuamua tu kuwa mapenz haya nafas kwako....ukiamua hautopata tabu yafate malengo yakoNahitaji msaada wenu ndugu zangu,
Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari
Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu
Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Njoo kwa Yesu dada uwe huru.
JESUS IS LORD