Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

Huyu ndo anaelalamika kuchakatwa kisa kaomba 30k 😂😂😂😆😆
 
Any updates mamy??? Vipi saivi kimahusiano akili imetulia??
napata ahueni kidogo, cause most of time najikeep busy na kazi, muda wa break natazama funny videos, memes, nawatch celebrities updates, kidogo akili inatulia, naspend muda na marafiki zangu nyakati za weekends kama leo

But sijui atakayenishawishi kuwa kwenye mahusiano ataanza vipi na ataongea nini nimuelewe

kidogo narejea uzima wangu

thank'u mummy kwa kunijulia hali
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,

Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.

Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari

Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu

Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Ukiona bado unayapa kipaumbele ujue bado hayajakutenda vizuri. Subiri subiri yakutende utajikuta wewe mwenyewe umekuwa zaidi ya sugu
 
Anza kusagana 1X15 kwa mwezi mmoja.

Hutatamani dushe kamwe.
Nilijuaga wanao haribu jf kwa upuuzi ni hawa joined 2021&22 kumbe hata ninyi wakongwe pia mna upuuzi hivi? Sasa iko wap faida ya kudumu JF kama unatoa ushaur wa kipumbav kama huu? Hawa joined 2022 unadhani utawaambia kuwa humu ni site ya great thinkers wakakuelewa? tubadirike jmn
 
Get busier
Olewa mke wa 2/3
Mume hatokushughulisha sana
Ana miji mingine

You get to start a family with minimum amount of stress and husband management
 
Pole bidada kwa maumivu, kuachana na mapenzi ni ngumu sana mana mausiano ndio tunayaishi so ngumu kutojiusisha moja kwa moja na mapenzi lamsingi jikite kwenye mambo ambayo yatakufanya usahau maumivu zen akili itakaa sawa na maisha yataendelea
 
Back
Top Bottom