Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

Msaada, dawa ya kuachana na mapenzi

roselyn2

Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
86
Reaction score
390
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,

Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.

Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari

Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu

Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
 
Jitahidi kufanya vitu vingine ambayo wewe huwa vinakupa furaha pasipo kutegemea mtu. Mfano mimi nikisafiri nikaona mazingira mapya mwili unapata tabasamu.

Ikiwa ni ngumu kwako kufanya jambo jipya jaribu lifanya mara 21 uone ikiwa bado achana nalo

Jitahidi kusoma vitabu vya kukujenga wewe kama wewe. Amini utafika mahali utakua mtu tofauti.
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,

Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Pole, Kwa mm naona hapa tiba ya ushauri ataiotoa mzabzab tu au smart man Extrovert

Zingatia Sana ushaur wa hawa watu
 
images.jpg
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,

Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.

Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari

Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu

Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Sasa mrembo kama wewe unateswa na mapenzi kweli wakati vidume tupo. Wee itakuwa ulimpa big boy ukamuacha mr midabwada🤣🤣🤣🤣
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,

Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.

Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari

Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu

Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Kazi rahisi sana hiyoo, njoo kwangu tuwe washkaji tu hakuna ziada wala mapenzi ni mwendo wa vinywaji nyama na viwanja kila jioni baada ya kazi 😎😎😎
 
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,

Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.

Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari

Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu

Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Nakumbuka kipindi nolivo kua na depression kama hiyo niliamua kuachana namapezi angalau kwa miaka mitatu, nikapata pschological counselor, kutoka office fulani ila ndani ya miezi mitatu tulianza mahusiano nae, tena yalikua ya moto hata kuliko ya awali, so napenzi ni sehemu ya maisha ya mtu.
 
Simple...haukuwa na msimamo. Jamaa wakatambua..kisha wote wakasepa!

Ukipendwa tulia. Wakosa uaminifu,kukosa msimamo huyu unatamani yule una tamaa nae,kujiona mzuri au kuwa mzuri,tamaa ya pesa n.k siku zote huishia maumivu.
 
Back
Top Bottom