Ilikuwaje?😀Jamani hii chumvi mi naiogopa niliwahi kuinyunyizia kwenye nyumba ya watu mmh naona niliamsha yaliolala.... kesho yake nilibeba pochi na nguo za kazini nikaacha nyumba, nilirudi baada ya miezi miwili kurudia vitu vyangu.
Kulikua na mauza uza nadhani ni ushirikinaIlikuwaje?😀
Chumvi ni dawa na ina nguvu.Jamani hii chumvi mi naiogopa niliwahi kuinyunyizia kwenye nyumba ya watu mmh naona niliamsha yaliolala.... kesho yake nilibeba pochi na nguo za kazini nikaacha nyumba, nilirudi baada ya miezi miwili kurudia vitu vyangu.
Naomba nikumbushe hayo maandiko ili niyapitie leo umenipa kitu fulani
Yaani hata kabla ya kuuweka huo waya bado mziki wa hao nzi kwa ndani ya nyumba usipime!!Kwanza hizo kamba au waya ondoa kabisa maana ndio choo chao hicho
Naona hujui hivyo vyeusi ni nini
Zingatia usafi sana
Ikishindikana hapo basi mwambie mwenye nyumba unaenda Sumbawanga mwezi ujao umletee nini?
Zingatia usafi sana
Ikishindikana hapo basi mwambie mwenye nyumba unaenda Sumbawanga mwezi ujao umletee nini?
😀 😀 😀 Lengo ni kumtisha mwenye nyumba.
Inauzwaje hiyo Agita?Nilinunua pakiti 10.Niliyopewa ni ungaunga Ila ni mzito mithili ya chumvi ya mawe!Niliweka wakafa wachache sana na niliuziwa duka la dawa
Inauzwaje?Mkuu achana na imam potofu mm mwenyew mwenyeji wa Mbeya japo Sjawah ona nzi maeneo yang lakin cha kufanya nenda duka LA mifugo apo mbaliz au popote Karibu na wew kuna dawa za Aina zote ila jaribu kuondoa vitu au sehem wanapopenda kutua Kama kamba hivi zingatia hiyo dawa ya ingita ina packet ya yellow inachenga chenga
Nahisi tatizo sio kuua tatizo wao kuja, sitaki waje kabisa. Nataka dawa ya kuzuia wasijeNenda maduka ya dawa za mifugo kuna dawa ipo kwenye pakiti jina nimesahau uwiiii inaua mpk huruma ukimwaga leo hata ukideki nzi akitua kesho anakufa
Nenda maduka ya dawa za mifugo kuna dawa ipo kwenye pakiti jina nimesahau uwiiii inaua mpk huruma ukimwaga leo hata ukideki nzi akitua kesho anakufa
Nahisi tatizo sio kuua tatizo wao kuja, sitaki waje kabisa. Nataka dawa ya kuzuia wasije
Inaitwaje jina mr king kong ze kutisha surabaya fc?Yes ni ya unga mweupe kama sukari hivi ,ni balaa halafu inauzwa simple tu haizidi jero kwa pakti.
Inaitwaje jina mr king kong ze kutisha surabaya fc?
Ewaaa ni jero na ni kam sukari sugarYes ni ya unga mweupe kama sukari hivi ,ni balaa halafu inauzwa simple tu haizidi jero kwa pakti.
Iyo sidhani mkuuNahisi tatizo sio kuua tatizo wao kuja, sitaki waje kabisa. Nataka dawa ya kuzuia wasije