Mbeya... ni wapi huko?
... Mbeya na msimu wote huu wa baridi nzi wanatoka wapi. Nzi kuishi below 23C ni very rare sembuse Mbeya weather ni below 15C! Sioni wakiwa nzi wa kawaida hao! Pata ushauri wa wazee Mkuu.Mbeya
Ni kweli tuko msimu wa baridi lakini ndiyo hivyo hao viumbe wananitesa vilivyo... Mbeya na msimu wote huu wa baridi nzi wanatoka wapi. Nzi kuishi below 23C ni very rare sembuse Mbeya weather ni below 15C! Sioni wakiwa nzi wa kawaida hao! Pata ushauri wa wazee Mkuu.
Naona ni kwangu tu maana majirani naona wako vizuri bila tatizo loloteNi kwako tu na kwa majirani? Zidisha ibada dunia hii ina mambo.mengi mno unaweza ukawadhibit nzi wakaja mende bora uzidishe ibada
Dawa ya kumwaga chini nimeshajaribu saaaana!Wanakufa wachache sana!Nenda maduka ya dawa za mifugo kuna dawa ipo kwenye pakiti jina nimesahau uwiiii inaua mpk huruma ukimwaga leo hata ukideki nzi akitua kesho anakufa
Zidisha ibada bro mambo ni mengi mnoNaona ni kwangu tu maana majirani naona wako vizuri bila tatizo lolote
Asante kwa ushauri nitaufanyia kaziZidisha ibada bro mambo ni mengi mno
Nashukuru nitaitafutaIko Dawa inaitwa ingita nadhani pkt yake ya yellow, na Dawa in chengachenga za yellow, ni balaaa wanakufa.
Sidhani kama kuna buibui wa kupambana naoFuga buibui ndani kwako
Sasa i meant this,, nayo ni ya kumwaga chini na unadai utaitafuta c utakua ushatumia my wangu na kama uliitumia unavodai wakafa wachache basi uliuziwa fekero hii inapatkana duka za dawa za mifugo.Nashukuru nitaitafuta
Hii inatumikaje?Nunua D.D.T
Nilinunua pakiti 10.Niliyopewa ni ungaunga Ila ni mzito mithili ya chumvi ya mawe!Niliweka wakafa wachache sana na niliuziwa duka la dawaSasa i meant this,, nayo ni ya kumwaga chini na unadai utaitafuta c utakua ushatumia my wangu na kama uliitumia unavodai wakafa wachache basi uliuziwa fekero hii inapatkana duka za dawa za mifugo.