Msaada: Dada anatakiwa haraka sana!

Msaada: Dada anatakiwa haraka sana!

30,000 ni ndogo sana.jarbu kuongeza had I 65-70,000 hivi.vinginevuo uatapata temporary maid au kibaka akuibie asepe
 
piga nikuletee dada yupo hapa goba mbezi 0659174311

Asante sana wakuu kwa ushirikiano wenu uliotukuka. Nashukuru tayari nimeishampata dada mmoja na anachapa kazi vizuri tu.
 
wakuu salaam!
nimepatwa tena na tatizo la kuhitaji msichana wa kazi....mwenye fununu au taarifa sahihi mahali nawez kumpata, tafadhali niPM. please assist.
 
Kina kitu watu wengi sana wanashindwa kukipa thamani,msichana wa kazi ni coordinator mkubwa sana ambae anaweza kuteketeza familia nzima.Huyu ni mtu muhimu ambae anapaswa kupendwa na kulipwa vizuri.
 
Back
Top Bottom