pisces
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 240
- 61
wadau, nna mpango wa kuuza vits yangu na kununua hii gari
nimetokea kuipenda.
ningependa kujua prons na cons za hii kitu especially fuel consuption na maintenance cost.nimehamishwa, siko dar, niko mkoani hakuna foleni na ofisini kwangu ni 1.5 km toka nyumbani.
mawazo yenu ili nifanye maamuzi sahihi....