MSAADA: CPA kwa Accountant

MSAADA: CPA kwa Accountant

Status
Not open for further replies.
Kama diploma ya uhasibu si anaanza na intermediate ( level c & d ) , ? Kama ana digrii ya uhasibu si anaanza final ( module e & f)
level c&d na e&f zimefutwa, degree ya uhasibu wanaanzia Intermediate then Final Stage
 
INATEGEMEA NA DIPLOMA ULIYONAYO NI YA MASOMO GANI? KAMA NI YA ACCOUNTANCY UNAANZA NA FOUNDATION KISHA INTERMEDIATE HALAFU FINAL. UKISHAMALIZA FINAL MASOMO YOTE MANNE NDO UNAPEWA CPA CERTIFICATE.

KWA USHAURI WANGU KAMA KICHWA KIKO VIZURI SANA NI VIZURI UKAANZA NA FOUNDATION KISHA UKAPIGA INTERMEDIATE NA FINAL. MAAN UKIWA NA DIPLOMA UNAANZA FOUNDATION AMBAYO NI MASOMO MATANO ( KAMA SIJAKOSEA) NA UKIMALIZA HAYO UNAENDELEA NA HATUA YA PILI AMBAYO NI INTERMEDIATE NA ILI UFANYE INTERMEDIATE UNATAKIWA UWE UMEMALIZA BACHELOR. SWALI LAKUJIULIZA NI MUDA GANI TOKA DIPLOMA MPAKA BACHELOR? DHAHIRI NI MIAKA MITATU NA HATA UWE HUJAMANIKIKA KIASI GANI HUWEZI MALIZA MIAKA MITATU KWA MASOMO MATANO KAMA UMEAMUA KWELIKUWEKEZA KWENYE MAISHA

WASIWASI WAKO NILIUONA NI KWAMBA KAMA HUNA DEGREE LABDA ITAKUWA CHANGAMOO KWA KUENDELEA KUSOMA SI KWELI HATA KIDOGO NA HIYO DHANA IONDOE KWANI NILISOMA MASTERS NA MTU AMBAYE HANA DEGREE ILA ANA SPA NA ALIKUWA NA UWEZO MZURI SANA KULIKO HATA SISI WENYE DEGREE.

CHANGAMOTO YA MIOTIHANI YA NBAA NI KUJITOA KWA HALI NA MALI NA PIA USIWE NA MAMBO MENGI MANA YANAKULA MUDA NA SOMETIMES NGOMA ZINAGOMA ILA UKIKOMAA INAWEZEKANA KABISA.

LAMWISHO KWA NINI WAHINDI MNAOSOMA NAO O LEVEL HUWAKUTI A LEVEL WALA KWENYE VYUO VYA BIASHARA LAKINI BAADA YA MIAKA MITATU MINNE ANA ACCA AMBAYO ANAIFANYIA KAZI ULIMWENGU MZIMA.

NAOMBA KUWASILISHA
Jibu zuri
 
hahaha nakutishia tu mkuu. Tuition kwa somo ina range btn 100k-150k, kulipia bodi inarange 80k-150k kwa somo depends on level. Kwa hesabu za haraka kama utafanya bila kufeli andaa kama 3M (apo nimekadiria utafanya mitihani 12).

Ukiacha bia na mademu unamudu hizi gharama mkuu

Usitilie maanani paragraph ya mwisho
Mmh mhhh madem tuweke pemben
 
Ninachojua ukiwa na diploma ya uhasibu zamani kidogo ulikuwa unaanza ( module c & d) ambayo ni intermediate stage , then unafanya final stage ( e & f) , kama Una digrii ya account unaanza kufanya final stage ( module e & f) , sijui kama sasahivi hui umebadilishwa, wazo lako la kufanya CPA ukiwa na diploma ni zuri , kwani unaweza ukafuta kazi huku unafanya hizo papers, kumbuka kazi nyingi waajiri wanawapenda diploma Kwa kuwa ni cheap labour, hizo paper wala sio ngumu Sana , watu wasikutishe , fanya kama hivyo ulivyopanga
Jibu zuri sana hili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom