MSAADA: CPA kwa Accountant

MSAADA: CPA kwa Accountant

Status
Not open for further replies.
ili upate CPA inabidi ufaulu levels za Foundation, Intermediate na Final Stage na ni process sio kama unavyosema kama unaenda kuchukua
Kama diploma ya uhasibu si anaanza na intermediate ( level c & d ) , ? Kama ana digrii ya uhasibu si anaanza final ( module e & f)
 
Hahahah yaan kwa jinsi watu wanavyodondosha wino hapa kuna uwezakono mkubwa nipige chini tuu hii issue

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio ngumu kiihivyo , unaweza ukafanya na ukafaulu Tu , tena uku unatafuta kazi taratibu na hivyo diploma , Kwa kifupi kwenye interview ukiitwa utakuwa uko vizuri kutokana kuwa update, wazo lako ni zuri Sana, sema watu wanakutisha Tu
 
Ninachojua ukiwa na diploma ya uhasibu zamani kidogo ulikuwa unaanza ( module c & d) ambayo ni intermediate stage , then unafanya final stage ( e & f) , kama Una digrii ya account unaanza kufanya final stage ( module e & f) , sijui kama sasahivi hui umebadilishwa, wazo lako la kufanya CPA ukiwa na diploma ni zuri , kwani unaweza ukafuta kazi huku unafanya hizo papers, kumbuka kazi nyingi waajiri wanawapenda diploma Kwa kuwa ni cheap labour, hizo paper wala sio ngumu Sana , watu wasikutishe , fanya kama hivyo ulivyopanga
 
CPA ni kama betting mzee, if you have time and money to waste then komaa nayo. Unaweza ukawa T.O diploma na still paper za CPA zikakutoa nishai ukajikuta unarudia zaidi ya mara moja.
 
CPA ni kama betting mzee, if you have time and money to waste then komaa nayo. Unaweza ukawa T.O diploma na still paper za CPA zikakutoa nishai ukajikuta unarudia zaidi ya mara moja.
Kwani CPA Kwa mwaka si unafanya mtihani mara mbili, binafsi CPA wala hajanisumbua kiivyo pamoja na kwamba undergraduate sijafaulu sana, nafikiri kusoma vizuri na kuelewa ndio solutions, tena mwaka wetu ( Nov 2012) paper ya MA lilikuwa jiwe hasa , sasahivi papers zimekuwa simple unarecord hata somo moja tofauti na nyuma, Nina wajua watu wenye uwezo wa kawaida wana CPA
 
Ndio maana nikasema inakuwa kama betting maana inategemea sana zali lako. Pepa ikilalia upande wako unachana tu simple. Ikikujia opposite unakula za uso unarudi kujipanga upya na mashambulizi.
 
ila waajiri wengi siku hizi cpa wanaichukulia poa.. unakuta mtu una cpa.. ila kazi unazofanya za kikarani tu.. sijui sababu ni cpa holder wameanza kuwa wengi au nini?
 
ila waajiri wengi siku hizi cpa wanaichukulia poa.. unakuta mtu una cpa.. ila kazi unazofanya za kikarani tu.. sijui sababu ni cpa holder wameanza kuwa wengi au nini?
Yes ndio hivyo, hila ni Imani yangu kitu ingekuwa tight kama zamani sidhani kama CPAs wangekuwa wengi , pia kitendo cha kuweza kurekodi somo moja nayo imechangia
 
Kuna masomo kama Management Accounting bila kugusa chuoni kwanza huku kwenye CPA utahangaika sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Management accounting hata chuoni watu wengi hawaijui wanakuja kujua kwenye CPAs review classes, shida MA haitaki kukariri , inabidi uelewe na chuoni muda wenyewe ni mchache na masomo ni mengi, hivyo watu wengi chuoni tunatoka shallow
 
D. I. T Nafikiri bado wanatoa kwa degree ya miaka 4 kama ikitokea umesoma miaka 3 unapewa advanced diploma
Sio advanced diploma, hiyo ni higher diploma ambayo ni NTA LEVEL 7 iii, yaan mwaka wa tatu ambako mwakav wa 4 ndiyo level 8 sasa na degree.
 
Sio advanced diploma, hiyo ni higher diploma ambayo ni NTA LEVEL 7 iii, yaan mwaka wa tatu ambako mwakav wa 4 ndiyo level 8 sasa na degree.
Hebu pitia prospectus ya D.I.T vizuri maana mi nafikiri ndio sikuelewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom