Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,314
Msomi Lissu - Udsm.Weka swali lako kisomi, uliza Tundu Lissu alisoma wapi?
Mkuu Naongezea Na Wakili Msomi
Peter Kibatala- Mzumbe
Msomi Lissu - Udsm.Weka swali lako kisomi, uliza Tundu Lissu alisoma wapi?
Udsm ya zamani siyo ya sasa mkuu. Kuna vilaza hatari kule.Weka swali lako kisomi, uliza Tundu Lissu alisoma wapi?
Haa Haa! Nimejikuta Nacheka KwaWewe ndiyo utulie na ukae pembeni maana hujui unachokiandika mkuu.
Wakiingia hata ishirini kwa intake moja hao ni wengi kulingana na idadi ya chuo walikutoka.
Kati ya hao ishirini walioingia wakatoka watano first sitting wengine wakapata sup huwezi kusema wamefaulu hata siku moja.
Tunaangalia wamaeingia wangapi na waliotoboa ni kiasi gani.
Nawaelesha hawa wadogo zetu kuwa kusoma chuo Fulani siyo ndicho kitakupelekea uwe vizuri Bali ni wewe mwenyewe.Haa Haa! Nimejikuta Nacheka Kwa
Mabishano Yenu Mkuu.
All I Can Say
A Good Lawyer Knows Law
But Smart Lawyer Knows The Judge
Regardless Where He Or She Learnt
Law.
Wakili Msomi Albert Msando.Udsm ya zamani siyo ya sasa mkuu. Kuna vilaza hatari kule.
Taja junior Advocate anayewika sasa hivi kama utamkuta aliyesoma udsm.
Lissu Tundu UDSMWakili Msomi Albert Msando.
( Udsm Product).
Msomi Humphery Polepole
( Udsm Product).
Msomi Ridhiwani Kikwete
( Udsm Product).
Msomi John Mallya
( Udsm Product).
Msomi John Mnyika
( Udsm Product)
Etc.
thanks sana mkuuKama Upo Makini Law Is Good Sana
Ukiwa Na Muhuri Wako Unaweza Kujiajiri Mwenyewe Na Ukisha Kuwa
Na Jina Mkuu Sahau Umaskini.
Sikatai Mwanzo Mgumu Lakini Hutojuta Baadae.
Ndo Nini Hiki?
Welcome Mkuu!thanks sana mkuu
Ahahahahaaaa ucjali mkuuWelcome Mkuu!
Ila Ukifanikiwa Kuja Kuwa Lawyer
Tafadhali Usiwe Kama Wasomi
Andrew Chenge Na Nimrod Mkono.
Wamefilisi Nchi Yetu Sana.
Tatizo mliosomi vyuo vya kata hamjiamin mkija law school pale mkiona product za udsm mnatetemeka mnaleta maswali na visenerior vya kitoto ndo maana majembe ya udsm wanawachora tu mwisho wa siku wakija chomoka first sitting mnasema wanapendelewa siku zote wanaojua vitu wako kimya matokeo yakitoka ndo mnaanza kulalamika. Udsm ni next levelHaijawahi kutokea hiyo kitu mkuu.
Labda cohort gani walifaulu mpaka watu wakalalamika?
Jaribu kufuatilia hali ya wanafunzi wa Udsm kule law school hautanibishia aisee.
Nakumbuka cohort ya 23 nilikutana na mwanafunzi wa udsm ni bonge la kilaza maana kuna scenario Fulani nilimpa then nikamuuliza huyo mtu angeshitakiwa kwa makosa gani? Nikashangaa anasema ATTEMPT TO CORRUPTION ilibidi nimulize kasoma chuo gani akasema Udsm. Ilibidi nisepe zangu.
Attempt to corruption ndiyo kosa gani.
Nakubaliana Na Wewe 100%.Lissu Tundu UDSM
Njoo udsm ila Ujiandae ku-sup na ku-carry over sana kama hausomi!
Sent using Jamii Forums mobile app
UchocheziKama hukusoma kati ya vyuo vifuatavyo hapa bongo wewe ni "KILAZA"
1. UDSM
2. Mzumbe
3. SUA
4. DIT
5. Muhimbili
6. Ardhi university
Sent from koromije using bashite
Kweli Mkuu.Fanya ufanyavyo hakikisha unasoma chuo alichosoma ANDREW CHENGE. Haki vile mimi natamani muda urudi nyuma
John mnyika alimaliza mwaka gani vile hapo UDSM?? hao wengine hawajulikani sana..Wakili Msomi Albert Msando.
( Udsm Product).
Msomi Humphery Polepole
( Udsm Product).
Msomi Ridhiwani Kikwete
( Udsm Product).
Msomi John Mallya
( Udsm Product).
Msomi John Mnyika
( Udsm Product)
Etc.
Acha Utani Wewe Hawajulikani Sana?John mnyika alimaliza mwaka gani vile hapo UDSM?? hao wengine hawajulikani sana..
Sent using Jamii Forums mobile app