Well saidAcha upoyoyo degree nzuri iko Kichwani mwako.
Mfano, tundu lisu kasoma chuo kimoja na wanasheria/ mawakili wa serikali tena wengine darasa moja wengine wahadhiri waliomfundisha ila bado anawagalagaza kila siku mahakamani.
Kwa hiyo, pima mkojo wako na ubongo wako kabla ya kujiunga na degree ya sheria.
Mfano, kama unaelewa kuwa Kichwa chako ni cha panzi bora ukasome fine arts.
Well said
HahahahNenda n.i.t au ifm
SawaUDOM
Tatizo la Mzumbe wanasoma kwa mafungu. Wengine wanaambiwa warudi nyumbani baadaye waliokuwa wanasoma wakienda likizo ndo na waliokuwa nyumbani wanarudi chuo. Hapo panaleta ukakasi.Kwa ufaulu huo usipoteze pesa yako kuomba sheria Mzumbe,hawatakuchukua!
Ila kwa sheria Mzumbe ni chuo kizuri.
Kwa ufaulu upi kwa mfano mtu awe na pointi nne na nusu kwa masomo mawili. Hapo ni masomo mawili pointi nne.Hawezi kupata sababu cut off point yaan minimum requirements za chuo cha Mzumbe ni 4.5 kwa masomo mawili katika fani ya sheria so kwa matokeo hayo asahau law ya Mzumbe... UDSM ndo kabisa hata mwenye division 2 kakalia kuti kavu maana competition ni ya kutosha huko...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na University of Iringa mbona hamuisemi.Udsm hawana kitu wanaongoza kwa kufeli wakifika law school of Tanzania.
Wakati nipo UDSM hapo sheria ndo palikuwa dezo. Msamiati wa disco hawakuwa wanaujua. Sheria walikuwa hawafeli.Lissu Tundu UDSM
Njoo udsm ila Ujiandae ku-sup na ku-carry over sana kama hausomi!
Sent using Jamii Forums mobile app