Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

Hawezi kupata sababu cut off point yaan minimum requirements za chuo cha Mzumbe ni 4.5 kwa masomo mawili katika fani ya sheria so kwa matokeo hayo asahau law ya Mzumbe... UDSM ndo kabisa hata mwenye division 2 kakalia kuti kavu maana competition ni ya kutosha huko...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo anazo point ngapi?,na ni chuo gani wataweza kumpokea kwa kozi hiyo.
Msaada wako mkuu,tafadhari.

Huwa wanahesabu masomo mawili, yeye hapo ana point 4 katika masomo mawili so Mzumbe ni 4.5, UDSM ni 5 so utaona hadi hapo hafit kote ila vyuo vingine kama UDOM, SAUT, TUMAINI, IRINGA UNIVERSITY, RUCO, SEBASTIAN KOLOWA, JORDAN UNIVERSITY etc vinatoa degree ya sheria ila kumbuka 4.0 ndo minimum requirement so competition inakua kubwa hadi wachukuliwe wenye sifa kubwa kwanza then nafasi zinazobaki ndo wanapata hao wenye point hizo za mwisho... In short bila kumkatisha tamaa kwa point hizo kwakweli akipata degree ya law akatoe zaka na sadaka 100% maana itakua ni bahati kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kupata sababu cut off point yaan minimum requirements za chuo cha Mzumbe ni 4.5 kwa masomo mawili katika fani ya sheria so kwa matokeo hayo asahau law ya Mzumbe... UDSM ndo kabisa hata mwenye division 2 kakalia kuti kavu maana competition ni ya kutosha huko...

Sent using Jamii Forums mobile app
Udsm uwe na AAB au ABB au AAA
 
Harvard University is the best

reference ni Chenge Mb

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Huwa wanahesabu masomo mawili, yeye hapo ana point 4 katika masomo mawili so Mzumbe ni 4.5, UDSM ni 5 so utaona hadi hapo hafit kote ila vyuo vingine kama UDOM, SAUT, TUMAINI, IRINGA UNIVERSITY, RUCO, SEBASTIAN KOLOWA, JORDAN UNIVERSITY etc vinatoa degree ya sheria ila kumbuka 4.0 ndo minimum requirement so competition inakua kubwa hadi wachukuliwe wenye sifa kubwa kwanza then nafasi zinazobaki ndo wanapata hao wenye point hizo za mwisho... In short bila kumkatisha tamaa kwa point hizo kwakweli akipata degree ya law akatoe zaka na sadaka 100% maana itakua ni bahati kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udsm uwe na AAB au ABB au AAA
Acha uongo wewe... we unajua div I ya ngapi hiyo... yaana unataka kusema wanachukua div I za point 3, 4 na 5???? kweli umeenda shule lkn..?? Mbona mi nina washakaji wana ufaulu wa kawaida na wapo hapo..?? Acha kudanganya umma wewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom