DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,943
Mkuu vp two ya 10 mzumbe ntapata?Kwa ufaulu huo usipoteze pesa yako kuomba sheria Mzumbe,hawatakuchukua!
Ila kwa sheria Mzumbe ni chuo kizuri.
Mkuu vp two ya 10 mzumbe ntapata?Kwa ufaulu huo usipoteze pesa yako kuomba sheria Mzumbe,hawatakuchukua!
Ila kwa sheria Mzumbe ni chuo kizuri.
Utapata Mkuu.Mkuu vp two ya 10 mzumbe ntapata?
Huyo mpeleke Tumaini dar au Saut hawa wanapenda pesa kama wachaga tu ..lazima wamchukue akiwa na mkwanjaKwa ufaulu huu wa division III ya point 13,HKL.
General study-S
History-E
Kiswahili-C
English language E
Watampokea hapo mzumbe,kwa kozi hiyo ya sheri?.
Sent using Jamii Forums mobile app
smhn mkuu kat ya Law , Health mangmmnt, na Human resource management niende ipi kwa mtazamo wako? Bnfs nimeona hzo ni boraUtapata Mkuu.
Acha kupotosha wewe juzi tu apo matokeo ya cohort ya 21 yametoka robo tatu ya waliofaulu ni udsmUdsm hawana kitu wanaongoza kwa kufeli wakifika law school of Tanzania.
Shukrani mkuu.Huyo mpeleke Tumaini dar au Saut hawa wanapenda pesa kama wachaga tu ..lazima wamchukue akiwa na mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa mchango wako,mkuu.Hawatompokea kiukweli kabisa.. mara nyingi wanachukua ONE NA TWO... na diploma za GPA kali..
Sent using Jamii Forums mobile app
smhn mkuu kat ya Law , Health mangmmnt, na Human resource management niende ipi kwa mtazamo wako? Bnfs nimeona hzo ni bora
Eti robo tatu pole Sana. Udsm wanaongoza kwa kufeli ulizia utawaambiwa. Huwa wanaingia wengi ila wanaochomoka utakuta ni wacheche sana.Acha kupotosha wewe juzi tu apo matokeo ya cohort ya 21 yametoka robo tatu ya waliofaulu ni udsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kitu ambacho kitakusaidia kujiajiri mkuu.smhn mkuu kat ya Law , Health mangmmnt, na Human resource management niende ipi kwa mtazamo wako? Bnfs nimeona hzo ni bora
Law school ni chuo kikuu??? Elewa swaliNenda law school huko utabobea kwenye sheria
Hujui unachokiandikaa udsm wanaingia wengi ukilinganisha na wapi! Pale lst wanafunzi wanaoingia wengi ni saut udsm ni wachache kwasababu wanamaliza wachacheEti robo tatu pole Sana. Udsm wanaongoza kwa kufeli ulizia utawaambiwa. Huwa wanaingia wengi ila wanaochomoka utakuta ni wacheche sana.
Kama Upo Makini Law Is Good Sanasmhn mkuu kat ya Law , Health mangmmnt, na Human resource management niende ipi kwa mtazamo wako? Bnfs nimeona hzo ni bora
Wewe ndiyo utulie na ukae pembeni maana hujui unachokiandika mkuu.Hujui unachokiandikaa udsm wanaingia wengi ukilinganisha na wapi! Pale lst wanafunzi wanaoingia wengi ni saut udsm ni wachache kwasababu wanamaliza wachache
Itakuwa unaishi nje ya nchi, udsm wamekuwa wakifaulu mpaka wanafunzi wa vyuo vingine wakawa wanalalamikaEti robo tatu pole Sana. Udsm wanaongoza kwa kufeli ulizia utawaambiwa. Huwa wanaingia wengi ila wanaochomoka utakuta ni wacheche sana.
Weka swali lako kisomi, uliza Tundu Lissu alisoma wapi?Wakuu samahani eti kwa Tanzania hapa ni chuo gani kinajitahidi kutoa Llb nzuri kwa miaka ya hivi karibuni?
Haijawahi kutokea hiyo kitu mkuu.Itakuwa unaishi nje ya nchi, udsm wamekuwa wakifaulu mpaka wanafunzi wa vyuo vingine wakawa wanalalamika
Sent using Jamii Forums mobile app