Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

School of law kwenye first university
46de2af54d3f208ccdd6374c7ed1f580.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahani eti kwa Tanzania hapa ni chuo gani kinajitahidi kutoa Llb nzuri kwa miaka ya hivi karibuni?
Degree ya chuo chochote ni nzuri ila inategemea wewe msomaji utaitumia vp maana waweza soma kwenye chuo maarufu mwishoni mwa Siku unakuja unakuwa kama yule mropokaji aliyopo locked up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ufaulu huu wa division III ya point 13,HKL.
General study-S
History-E
Kiswahili-C
English language E
Watampokea hapo mzumbe,kwa kozi hiyo ya sheri?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kupata sababu cut off point yaan minimum requirements za chuo cha Mzumbe ni 4.5 kwa masomo mawili katika fani ya sheria so kwa matokeo hayo asahau law ya Mzumbe... UDSM ndo kabisa hata mwenye division 2 kakalia kuti kavu maana competition ni ya kutosha huko...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom