HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 308
- 113
Hebu cheki hapa Welcome to Institute of Judicial Administration (IJA) huko Rushoto Tanga
yeah ni kuzuri ila asiende hapo akitegemea ajira ya uhakika kutoka mahakamaniChuo cha IJA nikizur sana kwa kutoa hyo course na mimi nko huku Lushoto naweza kukusaidia
Chuo cha IJA nikizur sana kwa kutoa hyo course na mimi nko huku Lushoto naweza kukusaidia
vyuo vya sheria ngazi ya cheti vipo vingi sana
1. IJA lushoto
2. Mzumbe(moro na mbeya)
3. Azania College(DSM)
4. Rucco (Iringa)
5. Tumaini
6. Bagamoyo University
7. UDSM
kwa ujumla vyuo vyingi vinavyotoa elimu ya juu kwa kozi ya sheria basi kuna ngazi ya certificate pia
yeah ni kuzuri ila asiende hapo akitegemea ajira ya uhakika kutoka mahakamani
Plz naomba unijuze qualifications za kusoma sheria ngaz ya Chet
vigezo huwa ni masomo ya english,kiswahili,mathematics, nk hivi ndo vigezo vikubwa katika masomo ya sheria
minimum requirement ya kusoma kozi yoyote ngazi ya certificate ni pass 4 kwa maana inabidi uwe na D au kuendeleaNtashukuru Kwa Msaada Wako Ndugu Xo Ntakutegemea Zaid Kwa Hlo
dah hili la ajira ni kizungumkuti wenye certificate wamekuwa wengi sana hivyo ajira ni ngumu sanavpi kuhusu ajira kwa ngaz hyo ya chet kwa vyuo hvyo vyote.
dah hili la ajira ni kizungumkuti wenye certificate wamekuwa wengi sana hivyo ajira ni ngumu sana
Kwa chuo kikuu cha RUCO (Iringa) tumia website hii kwa msaada zaidi: www.ruco.co.tz.dah hili la ajira ni kizungumkuti wenye certificate wamekuwa wengi sana hivyo ajira ni ngumu sana
Unaweza kuwa wakili wa kujitegemea.. Au mwanasheria binafsi, sio lazima uajiriwe!