Egypt Air! Simmshauri mtu.
Yaani hawa jamaa mie sintowasahau maishani mwangu. Mawaka 2001 September, nilikuwa nakwenda UK for the first time kusoma na nikakata hi ndege.
Kama kawaida wakati wa check in tulikaguliwa Pasi zetu pale DIA, supprisingly kufika Cairo Pasi zetu zikakusanywa tena.
Kutahamaki jamaa wakaniambia kuwa eti Pasi ile haikuwa ya kwangu ila niligushi tu nikabandika picha yangu.. na sikuwa peke yangu. Tukapigwa chini na kurudishwa makwetu.