Nina mdogo wangu ambae Ni mwanafunzi. Miezi michache iliyopita alijiovadozi(alikunywa vile vidonge vya majira vile vyekundu alitumia kimoja kutwa mara 3, kwasababu alijihisi ana mimba akaenda duka la dawa baridi ndio akapewa hizo ili atoe). Sasa anasumbuka na bawasiri na pia anadai tumbo linamuuma
Je zile ddawa ndiyo chanzo?
Tumeenda hospital ila hajapewa chochote ila ameelekezwa ale vyakula vya nyuzinyuzi tu.
Je zile ddawa ndiyo chanzo?
Tumeenda hospital ila hajapewa chochote ila ameelekezwa ale vyakula vya nyuzinyuzi tu.