fungua hii link kufungua modem yako
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...87-unlock-modem-mpya-za-airtel-zte-mf190.html
Thanks, it works. Inafungua, sasa natesa na laini za Vodacom, tiGO na Zantel. Chata inabaki ile ile ya Airtel ila mtandao unakuwa wa SIM iliyomo ndani ya modem, na dial up No. ni *99# kwa mitando yote.