Msaada cas-tcu

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,581
6,675
Habarini za wakati huu...najaribu kufanya usajili CAS..kwa bahati mbaya napewa jibu hili. Kwa anaefahamu tafadhali tusaidiane.

Failed to connect to server: Access denied for user 'salim'@'localhost' (using password: YES)
 
Heri yako wewe,mie mwenzio bado tu wameniandkia checking in progress hadi leo!
 
Habarini za wakati huu...najaribu kufanya usajili CAS..kwa bahati mbaya napewa jibu hili. Kwa anaefahamu tafadhali tusaidiane.
Failed to connect to server: Access denied for user 'salim'@'localhost' (using password: YES)
ipe mda itakubali baadae, iliniandikia hvyo usiku,leo ikakubali
 
kwahiyo ni kwamba hii tovuti ina matatizo? na ninapofanya usajili kwenye sehemu ya password naandika zozote sio? mmana nasikia tunatumia default ya 123456.
 
mwanzoni ilinambia nimekosea passwd, nikaandika 123456. Then ikakubali na wakanitaka nibadili paswd, nikabadili ikagoma.. So ndo ikaniletea hayo mambo ya SALIM, YES. Nikapotezea, nikaja kuingia baadae na paswd yangu ya zamani wakanambia SORRY TOO MANY USERS. so nikaingia asubuhi, ikakubali.tena wameiboresha na madoido.. Ipe mda.. Paswd jaribu ile ya zamani
 
Ahsante..ila ndo najaribu kusajili so sina hiyo kitu inaitwa password ya zaman.. nilikuwa kijijini sikuwa na access ya baadhi ya vitu.
 
mwanzoni ilinambia nimekosea passwd, nikaandika 123456. Then ikakubali na wakanitaka nibadili paswd, nikabadili ikagoma.. So ndo ikaniletea hayo mambo ya SALIM, YES. Nikapotezea, nikaja kuingia baadae na paswd yangu ya zamani wakanambia SORRY TOO MANY USERS. so nikaingia asubuhi, ikakubali.tena wameiboresha na madoido.. Ipe mda.. Paswd jaribu ile ya zamani

ebu nisaidie na mimi mkuu,hii checking in progress ni hadi lini?
 
Habarini za wakati huu...najaribu kufanya usajili CAS..kwa bahati mbaya napewa jibu hili. Kwa anaefahamu tafadhali tusaidiane.

Failed to connect to server: Access denied for user 'salim'@'localhost' (using password: YES)
Hawa jamaa hawajajipanga! Nilikuwa najaribu kumfanyia usajili dogo wangu mmoja yupo mkoa na mimi nimepata the same message! Na simu lao ukipiga halipokelewi. Mbaya zaidi, usiku wa kuamkia leo nasikia majambazi yamevamia ofisi zao...bado sijajua wameiba nini na nini! Kwa hiyo hata ukienda ofisini kwao physically kwa leo hakuna huduma!
 
Hawa jamaa hawajajipanga! Nilikuwa najaribu kumfanyia usajili dogo wangu mmoja yupo mkoa na mimi nimepata the same message! Na simu lao ukipiga halipokelewi. Mbaya zaidi, uku wa kuamkia leo nasikia majambazi yamevamia ofisi zao...bado sijajua wameiba nini na nini! Kwa hiyo hata ukienda ofisini kwao physically kwa leo hakuna huduma!
OMG..hawa watu hawako makini kabisa..nimepiga pia namba haipokelewi na sikujua hilo. Kazi ipo na tanzania hii..hakuna kitu kisichozingua aah..these guys waongeze muda kwakweli..
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom