Msaada: Bomoa bomoa Ilala kupisha reli

Ni mt 30 mkuu,pole huku kwetu mwanza wamechora kweli ila vyema ukifika ofisi husika utapata ufumbuzi mzuri
 
Asante mkuu,kwa hiyo kuna uhakika hawatakuja kuvunja tena? je zoezi hilo dar limekwisha?
 
Ni mt 30 mkuu,pole huku kwetu mwanza wamechora kweli ila vyema ukifika ofisi husika utapata ufumbuzi mzuri
Asante mkuu,ila wahusika hawaeleweki sababu tukiwauliza tunapata majibu tofauti tofauti yenye kuchanganya.
 
Mmejichanganya, ,ilitakiwa siku alipoapishwa huyu bwana mkubwa kuwa Rais ,, nyumba yenu mngeipiga bei,,,, sidhani km mtamtanusurika ktk ilo,,,hamkusoma alama za nyakati
Duuuh kwakweli tunakosa usingizi mkuu.Inamaana dar bado zoezi linaendelea? maana nyingi zimevunjwa nikafikkiri ndio mwisho.
 
katoe fungu la kumi hakika hyo nyumba kawashindia mema usipofanya hivo utasaga meno na itakuwa mita 60
nifafanulie ndugu yangu sababu bibilia sijasoma kwa sana.
 
Equivalent to "mbona mnawakanyaga wenzenu kama majani?"
 
Uzeni haraka mkakae chamanzi au chanika maana hapo Hakuna kulipwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nitafute tufanye maombi isibomolewe. Kila wakija kubomoa Bwana awapige upofu wasiione nyumba. Yani wakija wanaona kama kuna uwanja ulioko wazi. Kwani una mume au uko single single?
Niko single mkuu.
 
Nyumba yenu iliwekewa alama ya X mkitakiwa kuvunja wenyewe kabla mamlaka husika hazijachukua hatua.
 
Nyumba yenu iliwekewa alama ya X mkitakiwa kuvunja wenyewe kabla mamlaka husika hazijachukua hatua.
Ni kweli usemavo ila nasikia zoezi la kubomoa dar limekwisha na hakuna ubomoaji tena katika maeneo karibu ya reli,ndio nikataka wadau wenye kujua wanihakikishie ili tupate amani ya roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…