Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Body spray. kwani ananuka kikwapa na kwann umnunilie ww?Nisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Blue ladyNisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
NashwaNisaidieni aina za body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama anataka amletee kama zawadiMpe mke wako hela akanunue mwenyewe wanazijua perfume zao
Je kama anataka amletee kama zawadi
anaeza akarudishwa nayo akaambiwa hii siipendiHahahaha uyo mwanamke atakua hana shukrani![]()
anaeza akarudishwa nayo akaambiwa hii siipendi
Hahahaha uyo mwanamke atakua hana shukrani
perfume zingine unaeza ukanunua we unaona inanukia vizuri ukiipeleka unaambiwa inanukia mandaziAu hata ugoro![]()
perfume zingine unaeza ukanunua we unaona inanukia vizuri ukiipeleka unaambiwa inanukia mandazi
Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Try ESCADA hutajutia...Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Weelie