MSAADA: JINSI YA KURUDISHA PICHA, VIDEOS PAMOJA NA MUSIC KATIKA MEMORY CARD (SD CARD) AMBAYO ILIKUA ENCRYPTED.

Cologero

Senior Member
Oct 14, 2015
101
86
Habari za mda huu waungwana!!!!

Natumia Samsung grand prime plus, ambayo storage yake ni ndogo sna kwa hivyo niliamua kununua Sd card au memory card kama wengi wetu tulivyo zoea kuiita. Kila kitu ambacho kina husiana na gallery na music vyote niliviweka katika storage ya external ya Sd card na kuna siku nilii encrypt memory card yangu bila kufahamu kama nikii fanya hivyo siku niki ereset simu yangu vitu vyote ambavyo vipo kwenye memory card havita soma.

Juz simu yangu ilikua nzito nika decide nii reset baada ya kumaliza kufanya hivyo nilivyo weka memory card nikakutana na vivuli tuu picha zangu zote za kumbukumb zime kua vivuli hazi display tena music pamoja na videos hazi play pia.

NAOMBA MSAADA WENU PLEASE NIFANYE NINI ILI NIWEZ KURUDISHA VITU VYANGU. NAOMBA KUWAKILISHA NA MUNGU AWABARIKI.

Screenshot_20190403-123253.jpeg
Screenshot_20190403-123312.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
India play store download Essy-recovery afu in-store then fuata maelekezo unachotaka utakipata. Ila nakushauli utumie Computer ndo utakuwa rahisi, chukua card ride uweke card yako afu uanze kuifanyia recovery. Ukishindwa rudisha majibu nitakutumia link.
NB:Usinitafute inbox njoo apa tufundishane.

Apo nilimaanisha ingia sio India. Nshachoka nalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
India play store download Essy-recovery afu in-store then fuata maelekezo unachotaka utakipata. Ila nakushauli utumie Computer ndo utakuwa rahisi, chukua card ride uweke card yako afu uanze kuifanyia recovery. Ukishindwa rudisha majibu nitakutumia link.
NB:Usinitafute inbox njoo apa tufundishane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashkur mkuu ntakupa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom