Msaada: Binti wa kisomali anitoa roho

Msaada: Binti wa kisomali anitoa roho

Habari za wakati huu wanajamvi, natumai mu wazima wa afya.

Leo nmekuja kwenu nahitaji msaada wenu hasa wa kimbinu.

Nimekutana na Binti wa kisomali hapa chuoni nisomapo, ni mweupe kazuri hasaa wala si utani. Hisia zimenijaa juu yake namtamani kila wakati nimuonapo,natamani hata nizikiss lips zake nyekundu,nimkumbatie hadharani au nimshike kiuno chake.

Nimejenga naye mazoea ya kawaida tu ya kirafiki ya kusaidiana notes na kusoma soma (sio kusoma serious). Kutokana na mazoea haya ya wiki mbili nliyojenga nae tumekuwa tukiwasiliana kwa kuchat na kumpigia simu (hajawahi anzisha mazungumzo, mara zote mimi ndio huwa wa kwanza)

Tatizo nililonalo ndugu yenu ni kwamba kumueleza hisia na matamanio yangu juu yake ndio mtihani na sababu kuu ninahofia akikataa nitamkosa kabisaa.

Ninachotaka toka kwenu ni mbinu ya kudeal na huyu binti mpaka kumtia himayani na tunda kuliwa.

Kwakuwa huku jukwaani kuna wabobezi wa hii sekta natumai nitapata usaidizi.

NOTE: Wale wa komenti za 'tunalipa ada halafu chuo unaenda kutongoza' hapa si pahali pake.

KWA MBINU NITAKAZOPATA HAPA NAAHIDI KULETA MREJESHO HUMU JUKWAANI.

Shukrani zangu za dhati kabisa toka moyoni nazitanguliza.

View attachment 1504162
Fumba macho afu sema kifuatacho ITV
 
Ni mwanamke flani hivi 'independent' anaamini hakuna cha kumyumbisha sababu hata kifedha ni mwenye kujitosheleza hakuna pengo la kuziba mkuu
Mbona kama unatafuta slope,
Mkuu ulipokuwa mdogo ulikuwa unashinda jikoni na mama, au unakaa na wazee?
 
Kwan usomali kitu gani.....ndoano zile zile unazowatumia dada zako wa mwakaleli na litapwasi....ndo hizo hizo zitamnasa hata huyo msomali.........!!!!!! Ungawa wengi wao wanakua mademu wa magaidi wa alshabaab
Lol litapwasi tena? Sio lipaya na namatuhi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za wakati huu wanajamvi, natumai mu wazima wa afya.

Leo nmekuja kwenu nahitaji msaada wenu hasa wa kimbinu.

Nimekutana na Binti wa kisomali hapa chuoni nisomapo, ni mweupe kazuri hasaa wala si utani. Hisia zimenijaa juu yake namtamani kila wakati nimuonapo,natamani hata nizikiss lips zake nyekundu,nimkumbatie hadharani au nimshike kiuno chake.

Nimejenga naye mazoea ya kawaida tu ya kirafiki ya kusaidiana notes na kusoma soma (sio kusoma serious). Kutokana na mazoea haya ya wiki mbili nliyojenga nae tumekuwa tukiwasiliana kwa kuchat na kumpigia simu (hajawahi anzisha mazungumzo, mara zote mimi ndio huwa wa kwanza)

Tatizo nililonalo ndugu yenu ni kwamba kumueleza hisia na matamanio yangu juu yake ndio mtihani na sababu kuu ninahofia akikataa nitamkosa kabisaa.

Ninachotaka toka kwenu ni mbinu ya kudeal na huyu binti mpaka kumtia himayani na tunda kuliwa.

Kwakuwa huku jukwaani kuna wabobezi wa hii sekta natumai nitapata usaidizi.

NOTE: Wale wa komenti za 'tunalipa ada halafu chuo unaenda kutongoza' hapa si pahali pake.

KWA MBINU NITAKAZOPATA HAPA NAAHIDI KULETA MREJESHO HUMU JUKWAANI.

Shukrani zangu za dhati kabisa toka moyoni nazitanguliza.

View attachment 1504162
kwanz kabis ondoa nadharia ya 'Race' kwamba she is different, ni msichana kama wasichana wengine, same procedure same approach.... change mindset, usimuweke ktk hiyo positin utakuwa hujitendei haki boi
 
Shukrani Sana Kaka, progress iko nzuri kwa Sasa, NI suala la muda naleta mrejesho.
😀
 
Back
Top Bottom