Msaada, biashara ya bodaboda kwa mkataba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, biashara ya bodaboda kwa mkataba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by raia tz, Oct 21, 2012.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu habari, nimemnunua bodaboda, katika kutafuta nadereva nimekutana na hii biashara ambayo inaitwa ya mkataba, ntaileleza:-
  1. unampa dereva bodaboda, mnakubaliana akurudishie kiasi fulani baaada ya muda fulani inakuwa bodaboda yake. naomba nisaidiwe yafuatayo:-
  2. Nipate elimu zaidi juu ya hii biashara, faida zake na hasara zake, ni faida kiasi gani ipo accepted kwenye market na payback period ni muda gani

  • Kama kuna mtu aliyefanya hii biashara angenipa sample ya mkataba wenyewe, nijue wapi tunaandikiashiana naye na nanai mediator wa makubaliano yetu
  Ni hayo tu wakuu naomba pm au call 0654000253
   
 2. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pamoja na mikataba ufuatiliaji ni muhimu, hao madereva wengi wao ni watu wasiothamini kazi zao na hata chombo chenyewe.
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,981
  Likes Received: 6,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu usikubali kama upo kibiashara. wenzio wanafanya hivi;
  kama umenunua pikipiki mpya huwa haisumbui so muelewane awe anakuletea bei gani kwa wiki. ikishamaliza mwaka ndo mnaingia mkataba. hapo unakuwa na uhakika wa kurudisha hela yako vinginevyo hutapata faida. ni hayo tu. mia
   
 4. Troojan

  Troojan JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 847
  Likes Received: 367
  Trophy Points: 80
  ndugu kuwa makini sana na hao watu wa boda boda,kweli wengi c makini na hualibu chombo makusudi kwa kisingizio cha cost sharing,sas unapompa hakkikisha hakubani ktk garama ya matengenezo,la sivyo hela ya wiki utakua unapata nusu,na uwe mkali sana na kua unakifuatilia sana chombo chako,uclale bila kuiona na unaikagua,ucmpe alale nayo labda kwa mashart mahalum mana wengne wanaeza ipigia kazi 24hrz then wakakupa kihela cha 12 hrz,kulala na boda boda ni mkataba mwngne kbisaaa
   
 5. de fcb1 fan

  de fcb1 fan Member

  #5
  May 3, 2016
  Joined: May 20, 2013
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
   
Loading...