Msaada: Basi zuri Moshi - Dar

Ile METRO inayoondokaga saa 2:30 asubuhi inakufaa Kamanda. Ni fully luxury hadi Toilet ndani yake.

Saaa mbili na nusu dar inafika saa ngap mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 

Kilimanjaro wezi wale labda uapnde kwenye bus na wallet mfukon tu,wafanyakaz wa sawaya wezi sana wale


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
nimecheka sana!!!
hivi mana ya kuomba ushauri humu nini?
lakini ni funzo kujua kuchuja kila unachoambiwa


hahahahaha!
JF is the best, sikutegemea kucheka kwa hii post!

kama una familia bora jipange mapema uchukue fast jet, kero za basi ni kama barabara, hali ya gari, hali ya dereva, hali ya wahudumu.
ila alternative ni kuwa na mood nzuri. kuna magari yanachelewa kuondoka na kufika, yanakaa muda barabarani sio kwa kusimama kila mahali ila kwa mwendo kiasi. mojawapo ni Metro na Fresh,
Ila ushauri mwingine ni kuchagua basi sio kampuni, basi lenyewe liwe yutong mpya kabla haijachoka. utajuaje? hapo siwezi kukuamulia.

Kuna madereva wana mabasi mazuri sana kilimanjaro bus na wahudumu wa ovyo. au basi na dereva ovy lakini mhudumu akaifanya safari iwe nzuri.
 
Panda Sai Baba ambalo lina kitambaa cheusi jinachoning'inia juu nyuma upande wa kulia...
 
kilimanjaro la saa 2.30....
ili ndo pamba lao..a.c mpaka moshi...
 
Panda machame luxury.full kiyoyozi na vinywaji
 
Panda machame luxury.full kiyoyozi na vinywaji

haya magari ni ovyo sana.. siti zimebana, customer care haipo kabisa, muziki wanafungulia kwa kelele, halafu dereva hana nidhamu ya barabara.. Nilichukia hii kampuni siku nilipojaribu kusafiri nao..
 
haya magari ni ovyo sana.. siti zimebana, customer care haipo kabisa, muziki wanafungulia kwa kelele, halafu dereva hana nidhamu ya barabara.. Nilichukia hii kampuni siku nilipojaribu kusafiri nao..

Mbowe amekusikia.....ni magari yake.hayo
 
Chukua Chakito la Kwanza..Gear 12..Dereva wake hakuni nazi njiani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…