Msaada: Baada ya miezi 6 vipimo vinaonesha hajaathirika

Msaada: Baada ya miezi 6 vipimo vinaonesha hajaathirika

00071991

Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
9
Reaction score
8
Kwema?

Aisee mimi naishi na mwanamke ambae alikua muathirika akaanza matumizi ya dawa na sikumuacha. Nilimpa sapoti nzuri tu na nampenda sana nilikubali lolote

Baada ya miezi 6 siku ya kwenda kuangalia hali ya maambukizi hakuwa nayo kabisa hii inatokana na nini.!?

Tukapima upya vipimo vyote bado haikusoma hii imekaaje.!?
 
Huu uongo! Why and how?
Kwema.!?aisee mimi naishi na mwanamke ambae alikua muathirika akaanza matumizi ya dawa na sikumuacha nilimpa sapoti nzuri tu na nampenda sana nilikubali lolote.,baada ya miezi 6 siku ya kwenda kuangalia hali ya maambukizi hakuwa nayo kabisa hii inatokana na nini.!?tukapima upya vipimo vyote bado haikusoma hii imekaaje.!?
 
Akitumia dawa vizuri wajamaa wakazirai hata kavu kavu unakula bila madhara,akiona amepona na kuacha masharti vijamaa vinaamka upya
 
Akitumia dawa vizuri wajamaa wakazirai hata kavu kavu unakula bila madhara,akiona amepona na kuacha masharti vijamaa vinaamka upya
Nani amekuambia ukimwi unapona? Umekumywa wanzuki au pombe za bei rahisi?
 
Nani amekuambia ukimwi unapona? Umekumywa wanzuki au pombe za bei rahisi?
Mkuu Zipo dawa zakuponyesha Ukimwi mimi mwenyewe nimesha waponyesha Wagonjwa wa ukimwi na wamepona kwa kutumia dawa zangu za asili. Usidanganyike na Maelezo ya Ma-Daktari wanavyosema Eti Ugonjwa wa Ukimwi hauna dawa ni uongo kabisa hakuna maradhi yasiyokuwa na dawa yake.
 
Wenye ndio wale wapinzani wa miujiza au?🤨
Kwanza kabisa Ukimwi sio Sio ugonjwa hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi duniani. Ukimwi maana yake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI). Na Mimi sitibu kwa kutumia miujiza sina miujiza ninatibu kwa kutumia dawa za Asili kwani Mungu ametumbia kila maradhi hayakosi na kuwa na dawa yake. Amkeni .......
 
Back
Top Bottom