Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,846
- 11,671
Sawa Dr
Kwanza kabisa Ukimwi sio Sio ugonjwa hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi duniani. Ukimwi maana yake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI). Na Mimi sitibu kw akutumia miujiza sina miujiza ninatibu kw akutumia dawa za Asili kwani Mungu ametumbia kila maradhi hayakosi na kuwa na dawa yake. Amkeni .......