Msaada baada ya kuroot simu nimepata

Msaada baada ya kuroot simu nimepata

DUMEGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
499
Reaction score
206
habari wana jf baada ya kuroot simu aina ya tecno m3 na kufanikiwa nilifuta file la com.mediatek kwa baati mbaya Ilikua ukiwasha data kuna apps znajiinstall zenyew na ukizifuta znarud tena afu baada ya mda znapop up na error messages mfano "unfortunately measure has stopped" app zenyew ni engriks,measure,newnews, na nyngne nmezisahau ila nilivyofuta com.mediatek simu ikazima nikatoa betri na nilipojaribu kuiwasha tuu inaishia kwenye logo ya tecno. naombeni msaada nifanye nini ili iwake mpaka mwisho.
 
nani kakwambia ufute hilo com.mediatek? mediatek ndio mtengeneza soc ya simu, hardware zake ndio zipo ndani ya simu na huwezi kuifanya simu yako isiwe ya mediatek mpaka ubadili simu.

hapo nafikiri ndio umecorupt soft ya simu, jaribu ku hard reset ikikataa itabidi uflash
 
HIV hiz simu za promeshen za mitandao ya simu ukiroot unaweza kutumia line zote
 
Back
Top Bottom