Msaada app ya kubadili maneno ya kingereza kuwa synonims

Msaada app ya kubadili maneno ya kingereza kuwa synonims

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
882
Reaction score
1,433
Nahitaji msaada kama kuna namna au aplication naweza kupaste maneno mengi ya kingereza kisha yakabadilishwa kuwa katika maneno mengine ya kingereza lakini yasipoteze maana.
Mfano neno effect ni sawa na impact sasa nataka namna ya kubadilisha maneno mengi kwa mkupuo..
 
Hapana,huenda ujifunze nami vocablary
Neno effect sio sawa na impact
Neno impact =affect=athari
Effect ni matokeo/yanaweza kuwa impact au advantage
 
Hapana,huenda ujifunze nami vocablary
Neno effect sio sawa na impact
Neno impact =affect=athari
Effect ni matokeo/yanaweza kuwa impact au advantage
Sawa nimetolea mfano ili nipate solution kwa swali langu
 
Tumia hii, pia ni nzuri sababu ina work onffline mode
xLDLNU5fSp-6sWXjTn47H5zNofwM15L9PdAOKCQPhOjSajjczLw24zWYfVxY9jNgwxI=w300-rw

Synonyms Dictionary OFFLINE - Android Apps on Google Play
 
Andika neno unalotaka kupata maana yake kwenye Ms Word, point cursor ndani ilo neno then right click changua Synonyms, yatatokea maneno yenye maana moja.
 
Mkuu hivo ntapata kaz sana kubadili doc ya page kama 4.
Nlipenda kupata platform moja ambapo nakopy hata page mzima kisha wananiletea mzigo wote
 
Back
Top Bottom