Msaada: Android TV imekwama (stuck)

Asante sana mkuu, shida ilikuwa remote. Baada ya kurekebisha remote inafanya kazi
Chief Mkwawa nihatari namkubali huyu jamaa
.
Kwanza anajua inaonyesha nimfatiliaji sana wamambo
Amenishauri mengi sana kupitia ibox

Mnyenyekevu
Siyo mchoyo wa maarifa
Hajikwezi
Jamaa anajua kiukweli
 
Back
Top Bottom