Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

kwa space ya 4.5*4.5m itahitajika miche 245 kwa eka moja.

Kulingana na swali lako umeuliza HEKA moja,ambapo 1 hekta=2.5eka
2.5×245 = 612.5
Itahitajika miche 613 kwa heka moja

Kama nitakuwa nimekosea kwenye vipimo,naomba kusahihishwa
Space 4.5*4.5 itakuwa miche 197 kwa acre, space ya 4.5 itakulazimu kupunguza nusu ya miti ndani ya miaka michache sababu linahitaji mwanga wa kutosha kutengeneza nuts. Space nzuri kwa grafted macadamia ni 7*7, 6*6, 7*5
(Miche 81,111,114 resp)
 
Ndugu Matindi94,

Kujibu maswali yako napenda kukupa uzoefu kama ifuatavyo kwa sababu mimi pia ni mdau katika kilimo cha Macadamia.

Macadamia (au karanga mti kwa kiswahili) ni zao jamii ya nuts au karanga kama vile korosho.

Hustawi vizuri katika maeneo ambayo hulimwa parachichi, kahawa au migomba pia wataalamu ktk tafiti wanasema mahali popote ambapo mti ya matunda damu (tomato tree) hustawi basi macadamia hustawi.

Hali ya hewa nzuri kustawi macadamia ni nyuzi 15 celcius hadi 25c joto kali huathiri ukuaji na kutengeneza maua. Pia ni afadhali ya baridi kuliko joto kali hivyo mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya, na maeneo ya Mbinga, Lushoto nk inaweza kustawisha.

Ili kupata mavuno mazuri wanasisitiza kupanda miche ambayo ipo grafted, kinyume na hapo utapata miti ambayo haizai vizuri na kuchelewa kuzaa kwani iliyofanyiwa grafting huanza kuzaa mwaka wa tatu na ile ambayo haijafanyiwa grafting huanza kuzaa mwaka wa sita au kumi.

Tafiti zinaonesha spacing nzuri kupanda ni 8m x4m yaani mstari kwa mstari mita 8 na mti hadi mti mita 4 na hekta moja yaani ekari 2.471 ni miche 312

Hekta moja inatakiwa kutoa mavuno ya tani 3 hadi 5 au zaidi kama unatunza vizuri.

Ila kwa data zilizopo Kenya mti mmoja huzaa kuanzia kilo 20 hadi 80 kwa mwaka kutokana na aina ya mti na utunzaji.
Kwa wastani bei ya kilo moja ni Tsh 4,500 ha Tsh 6,000 ambazo hazijabanguliwa (Nut in Shell or NIS)

Pia kuna siku nilitembelea Shoppers Plaza kuna Supermarket niliona 150g za roasted macadamia zinauzwa Tsh 65,000 (je, 1,000g au 1kg itakuwa shilingi ngapi?)

Katika nuts zote macadamia ni the best kwa ladha na bei sokoni.

Mimi nilipanda mwaka jana hekta moja yaani ekari 2.471 miche 312 pia kwa Tz kupata miche grafted ni mtihani kwani hata jamaa wa SUA nilienda ili miche yao siyo grafted labda kama mwaka huu wamefanya.

Mimi miche nilipata kampuni ya Lima wapo Vwawa Songwe na bei ya mche mmoja grafted ni Tsh 7,500

Kwa uzoefu wangu kupanda macadamia ni rahic kuliko parachichi kwani inavumilia ukame kuliko parachichi.

Kwa data zilizopo hakuna zao lenye kipato kikubwa kwa ekari moja ukiacha Vanilla.

Mfano Afrika kusini, baada ya kutoa gharama zote mkulima hupata rand 374,400 yaani Tsh 64,584,00 kwa hekta moja (ekari 2.471) kwa macadamia ambazo hazijabanguliwa.

Na huko Australia ambapo ni native wa hili zao wao mkulima mmoja ana wastani wa hekta 5 yaani ekari 12 hupata wastani wa dola 150,000 (Tsh 349,500,000) kwa mwaka.

Njombe tumeanza kupanda ila si kwa kiasi kikubwa tatizo ni namna ya kupata miche bora iliyofanyiwa grafting pia miche ni gharama sana.

Uzuri wa hili zao nuts zake huweza kuhifadhiwa na kutunza kwa muda wowote na soko ni kubwa kuliko uzalishaji dunia nzima.

Kwa Afrika mashariki Kenya inaongoza kwa uzalishaji na kwa sasa Afrika kusini inaongoza Afrika na duniani ikifuatiwa na Australia.

Binafsi napambana angalau niwe na ekari mia moja ambazo tayari nimeshazipata na kilichobaki ni upandaji naamini kwa miaka hii mitano ya awamu ya tano nitakuwa nimemaliza kupanda ekari zote mia.
 
Kongole kaka.
 
Kuna jamaa pia wako kama sijasahau itakuwa ni njombe wanaitwa agriworth, wao pia wanadili na hili zao, niliwaulizia kuhusu miche wakasema kuanzia january hii wataanza kutoa miche, na pia wana uzi wao humu JamiiForums.
 
Kuna jamaa pia wako kama sijasahau itakuwa ni njombe wanaitwa agriworth, wao pia wanadili na hili zao, niliwaulizia kuhusu miche wakasema kuanzia january hii wataanza kutoa miche, na pia wana uzi wao humu jamii forum.
Ndiyo wapo ila mwakajana ndo waliniunganisha mimi na Lima ambao ni Vwawa. Nilichojifunza kwa sisi watanzania watu wanaongea sana ila ukienda ktk uhalisia si hivyo. Kwa mfano mwaka jana niliwasiliana na jamaa yupo SUA akasema miche ipi na grafted na ya kutosha lakini nilivyofika pale miche haipo grafted, hata mia 2 haifiki. Pia hawa jamaa wa agriworth niliwasiliana nao wakasema wapo Njombe.

Uzuri na mimi nipo Njombe nikaomba niende nione kitalu ili ninunue miche ndo wakaniambia niende kampuni ya Lima Vwawa ndo nikapata. Pale Vwawa tatizo likaja wakati wa kununua miche kuna aina kama 3 au 4 (A4, 814, 246 na 816) ila hakuna anayejua aina ipi inafaa hali ya hewa ipi na sifa zake so unauziwa tu kitu ambacho nilions bado ni tatizo. Hivyo kwa mtu makini unatakiwa kuwa makini maana kinachoongelewa ni tofauti na uhalisia hivyo lazima ufanye home work yako mwenyewe.
 
Unaweza ukatumia kama kiungo kwenye boga kama wanavyoungia karanga za kawaida?
 
Unaweza ukatumia kama kiungo kwenye boga kama wanavyoungia karanga za kawaida?.
Ndiyo mkuu, na ni kiungo chenye virutubisho kuliko karanga. Unaweza kugoogle "macadamia farming in malawi" kuna video ya wanavyotumia macadamia kama kiungo kijijini huko
 
Karibu Sana Miche nina andaa Mimi. Nipo mafinga, Miche imefanyiwa grafting na ni Aina ya macadamia inayostawi sehemu za baridi Kama NJOMBE, Iringa, Mbinga, Mbeya, Arusha, Bukoba nk. Mche mmoja nauza Tshs 9000 uliofanyiwa grafting, na Tshs 3500 kwa isiyo grafting. Leta oda yako sasa. Mimi pia Ni mkulima wa macadamia. Kitaluni kwangu Kuna Aina mbili za macadamia kwahiyo ukija utapewa ushauri wa Aina na Miche ya kupanda kulingana na sehemu unayo ishi. Piga simu/ whatsap 0758 992596,. email farajangailo250@gmail.com
 
Mkuu elezea zaidi sifa ya hizo aina ulizonazo. Mimi pia ni mkulima wa macadamia njombe, napenda kupanda miche kutoka kwa wazalishaji tofauti
 
Karibu Sana Miche nina andaa Mimi. Nipo mafinga, Miche imefanyiwa grafting na ni Aina ya macadamia inayostawi sehemu za baridi Kama NJOMBE, Iringa, Mbinga, Mbeya, Arusha, Bukoba nk. Mche mmoja nauza Tshs 9000 uliofanyiwa grafting, na Tshs 3500 kwa isiyo grafting. Leta oda yako sasa. Mimi pia Ni mkulima wa macadamia. Kitaluni kwangu Kuna Aina mbili za macadamia kwahiyo ukija utapewa ushauri wa Aina na Miche ya kupanda kulingana na sehemu unayo ishi. Piga simu/ whatsap 0758 992596,. email farajangailo250@gmail.com
Mkuu usilete mambo ya kitapeli humu watu wako seriously wengine tupo darasani....
Dakika hizi hizi unapandisha acc....
 
Kajoin na kupost number za simu papo kaona fursa ya kuwapiga watu huyu
20210131_000648.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210131-000423.jpg
    Screenshot_20210131-000423.jpg
    19.3 KB · Views: 19
Kuweni na staha, hili ni jukwaa la watu serious msiwape watu majina mabaya pasipo na ushahidi na kuwakatisha tamaa.
Tuna ushahidi wa watu kama hawa. Tunailinda jumuiya ya JF dhidi ya matapeli. Huwezi kufungua akaunti leo na kuanza kujinadi unauza macadamia wakati wanaouza tunawafahamu zaidi ya 5 yrs sasa na wamo humu.

Muulize wewe hiyo bustani yake Mafinga ipo Mafinga sehemu gani. Hatukurupuki kumtuhumu mtu. Watu washalizwa sana humu sababu ya aina hiyo ya watu.
 
Habar za kazi wana jf naomba kujua kuhusu kilimo cha hili zao

Je, mbegu zake zinaweza kupatikana wapi?
Je, soko lake lipoje na linawez kustaw maeneo ya baridi kama vile Njombe na Iringa?

NATANGULIZA SHUKRANI
I
Miche yenye urefu huu huwa hatuuzi,ipo kwa ajili ya kuwaonyesha wateja wetu wanaofika bustanini.😊

Miche tunayouza ina urefu wa cm 30, bei yake ni sh 9000..Ila ukihitaji miche ya eka moja tunakufanyia discount mkuu
Imefanyiwa budding tayari??
 
Tuna ushahidi wa watu kama hawa. Tunailinda jumuiya ya JF dhidi ya matapeli. Huwezi kufungua akaunti leo na kuanza kujinadi unauza macadamia wakati wanaouza tunawafahamu zaidi ya 5 yrs sasa na wamo humu.

Muulize wewe hiyo bustani yake Mafinga ipo Mafinga sehemu gani. Hatukurupuki kumtuhumu mtu. Watu washalizwa sana humu sababu ya aina hiyo ya watu.
Wewe Kama unahitaji Miche sema, sio kuongea mengine changamkia fursa. Unajua Mimi nimeanza kufuatilia zao la macadamia nuts tangu lini? Acha kuongea mengine yasio na staha. Wenzako wanachangamkia fursa wewe unvyo zidi kuongea pumba. Piga namba hiyo hapo juu upate maelezo sahihi.
 
Attachments

  • IMG-20210131-WA0040.jpg
    IMG-20210131-WA0040.jpg
    132.8 KB · Views: 24
Back
Top Bottom