Msaada: Anataka kuolewa na kupata watoto ila hana bwana

Nipo mm ula mwambie sina kazi age 30...hata akitaka nimpe tu watt na baada ya hapo nisimsumbue pia sawa tena bureee sitahitaj hata shilingi yake au soda yake...
 
Hiyo ya 2 azidi kuwa na subira na pia azid kumuomba Mungu yote yanawezekana.
Ila hiyo 3 kuna njia zaidi ya 100 ya kumtongoza mwanamke. Kuna wakati mapenzi huja yenyew pasipo kutongozana na mkajikuta wapenzi na mkawa mume na mke na watoto juu. Hakuna kitu huwa naogopa km unakutana na mwanamke siku ya kwanza na unaanza kumtongoza. Napenda tuzoeane kwanza, nikuone jinsi ulivyo, unavyoniheshimu na kujiheshimu. Nikiridhika ndiyo natongoza tofauti na hapo siwezi sbb naweza kujiletea matatizo na nikashindwa kuyatatua.
 
ivo ee? haya

unapitwa hukuuu Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

na hukuuu wenzio wanafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Kwahiyo hakuna alomuomba Mungu hata mmoja!! Kweli marafiki zako kiboko.

Ngoja waoaji waje, huenda ukajipatia hitaji la moyo wako.
Espy huyu anataka mtoto siyo mme kwa hiyo akiolewa na ndoa inaisha baada ya kupata mtoto.
 
Wee money penny kama moyo wako unashuhudia kuwa hutatoka nje ya ndoa nipo tayari kukuoa

Mi mwenyewe nimefumania si kusimuliwa naweza kusimulia nayajua na maumivu.
nimeshaolewa mimi mke wa mtu mama wa watoto 3.. wa mwisho yupo chuo anasoma degree ya 1

hakuna nisichokijua kama ni sokwe nimekwepa mishale mingi sana
 
Unaishi wapi ?Mama ninaweza kukupata ukijua uko ktk Siku za hatari fanya ziara Mwanza tuonane najua machungu ulionayo nikupata Mtoto ili Angalau afaidike na Riziki ulizojariwa Nami nitafurahi ukipenda utapendwa
 
Back
Top Bottom