Msaada: Anataka kununua eneo aanze kuchimba Dhahabu

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,538
Habari za muda huu wadau wa JF?

Naomba msaada hapa.

Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.

Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)

Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango cha dhahabu ukoje?

Naomba kupata Mwongozo
 
Maeneo gani mazuri yanayotoa dhahabu nyingi?

Ni capital intensive project, ajiandae vizuri, pia sio vyema kunua eneo maana hajui chini dhahabu ipo kiasi gani.

Pia ushauri utategemea scale yake anayotaka kufanya kama ni small scale mining, mid scale mining au large scale mining.

Umakini ni muhimu kwenye huo mradi maana ni mradi unaokimbiza pesa hasa kwenye hatua za kwanza.
 
Ni mradi mkubwa Sana huo, Afanye kuajiri surveyor na geologist wafanya tathmini ya kina kabla hajazika ela
 
Habari za muda huu wadau wa JF?

Naomba msaada hapa.

Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.

Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)

Maeneo gani mazuri yanayotoa dhahabu nyingi?

Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango cha dhahabu ukoje?

Naomba kupata Mwongozo
Nicheki inbox nikupe namba nimpe abc, kama akiwa tayari nimsaidie
 
Lakini pia ununuzi tu wa eneo lenye dhahabu pekee hautoshi kukufanya uwe mchimbaji. Kuna issue za umiliki wa kitalu. Kwa sheria ya madini sio lazima mmiliki wa eneo awe anamiliki kitalu na vise vesa. Achunge wajanja wasipitenae
 
Habari za muda huu wadau wa JF?

Naomba msaada hapa.

Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.

Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)

Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango cha dhahabu ukoje?

Naomba kupata Mwongozo
Habari mkuu, akipata eneo kama halijapimwa(coordinates) basi aje tutamfanyia kazi zifuatazo:
1. Kuchukua corrdinates za eneo na kuwasilisha ofisi za madini kwa ajili ya uhakiki.
2. Kuandaa mpango wa utunzaji mazingira.
3. Kufuatilia leseni na vibali vyote vinavyohitajika.
4. Ushauri wa mashine zinazohitajika.
5. Masuala muhimu ya kuzingatia yahusuyo kodi na wajibu kwa jamii ama
 
Siku hizi watu wengi wameerevuka, si rahisi kuuziwa eneo ambalo tayari limegundulika lina madini, isipokuwa kilichopo wenye/mwenye eneo wanafanya makubaliano na muwekezaji. Mara nyingi muwekezaji anachukua kati ya 70% na 85% ya faida inayopatikana. Kama huyo jamaa atakuwa tayari ninao jamaa zangu wanalo eneo Kanda ya ziwa linafika hekta 22, Karibu

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Habari

Vile vile anaweza kuja mbeya, wilaya ya chunya .
Kwa mtazamo wangu Chunya bado haijatumika Sana na gharama za uchimbaji chunya zipo chini Sana kulinganisha na Kanda ya ziwa.
Maeneo ya uchimbaji chunya Ni mengi Sana na hata ambayo Yana milikiwa na watu term and condition ziko vile friendly.
 
Mkuu unaweza fafanua how it works.Kuna eneo nimepewa share na nimeelezwa amepatikana mbia na wameshaigia mkataba. Kama unaweza kufafanua zaidi unafanyaje kazi huo ubia. Nimeambiwa Kuna fedha ya meza pia huwa inakuwaje mkuu. Tafadhali
 
Habari

Vile vile anaweza kuja mbeya, wilaya ya chunya .
Kwa mtazamo wangu Chunya bado haijatumika Sana na gharama za uchimbaji chunya zipo chini Sana kulinganisha na Kanda ya ziwa.
Maeneo ya uchimbaji chunya Ni mengi Sana na hata ambayo Yana milikiwa na watu term and condition ziko vile friendly.
Mikanda mikubwa ipo kwenye ukanda wa milima ya GGM mkuu.Na maeneo hayo GGM ameyafanyia utafiti mkubwa ni jukumu lako kutafuta data
 
Siku hizi watu wengi wameerevuka, si rahisi kuuziwa eneo ambalo tayari limegundulika lina madini, isipokuwa kilichopo wenye/mwenye eneo wanafanya makubaliano na muwekezaji. Mara nyingi muwekezaji anachukua kati ya 70% na 85% ya faida inayopatikana. Kama huyo jamaa atakuwa tayari ninao jamaa zangu wanalo eneo Kanda ya ziwa linafika hekta 22, Karibu

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Kanda ya ziwa mkoa gani mkuu?
naomba mawasiliano yako inbox
 
Nenda GST (Geological survey of Tanzania ) watakupa Raman ya maeneo yenye madini na details zingine muhimu utapewa.

Back
Top Bottom