Msaada Analysis ya time series data

Msaada Analysis ya time series data

hopetumaini

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
529
Reaction score
318
Habari wakuu. Naomba msaada wa kufanya analysis ya time series data. Mimi ni mwanafunzi wa degree ya pili katika chuo chetu pendwa (department ya economics). Si kwamba sijui kuzifanya kabisa, nafahamu karibu zote lakini kuna some technical errors ambazo nazifanya na huniletea majibu yasiyofaa.

Kwa anayefamahu msaada plz(njoo DM tutaelewana vizuri).

Ningependelea mtu anayefahamu vizuri GARCH MODEL na maswala mazima ya VOLATILITY KWENYE STOCK MARKET.

Natanguliza shukrani.
 
Tafuta aliyekutangulia au nenda kwa mwalimu wako utapata ushauri mzuri . Profs are paid to sort out these types of problems. All the best.
 
Back
Top Bottom