Kwa maelezo leo asubuhi aliwafuata kuwaelezea kufuta huo mkopo wakamueleza aendelee kusubilia maana hawana namna ya kumsaidia kufuta.Achana na mambo ya BOT kwa sasa.
Unachopaswa kufanya ni kumalizana nao. Kuna time frame ya kumalizana na endapo mtashindwana basi swala lako ndilo unali-file BOT.
Ukiwapigia BOT watakuambia hivyo hivyo. Fuata taratibu. Usiruke hatua.
Aanze benki husika, awape muda. Wakikataa ndiyo unawaambia kabisa nina lengo la kufile malalamiko yangu BOT.
Ili BOT kukusaidia, maandishi ya mdomo hayasaidii.Kwa maelezo leo asubuhi aliwafuata kuwaelezea kufuta huo mkopo wakamueleza aendelee kusubilia maana hawana namna ya kumsaidia kufuta.
Vipi gharama za uwakili?Kwa USHAURI wangu NINAONA aende kwenye Ofisi za mawakili walio karibu yake watamsaidia. Suala hilo ni jepesi sana. Terms zimevunjwa na mkopeshaji mwenyewe Kwahiyo the payments are time barred. Kuna sheria inayoregulate hayo maswala.
Amuone wakili amsaidie chap.
sawa nitamfikishia hiliIli BOT kukusaidia, maandishi ya mdomo hayasaidii.
Aandike barua, apeleke. Kisha asubiri majibu..
Ukienda Benki, (sina hakika sana siku hizi) kuna karatasi kubwa lenye taratibu za kufile changamoto yako.
Linaeleza vizuri sana na muda ambao changamoto yako inapaswa kutatuliwa.
Cha kufanya kesho arudi tena na barua kutoka kwa afisa utumishi. Awapelekee hicho kitengo. Pia apange foleni ya kuonana na Manager Customer Experience. Kama hayupo basi Bank Meneja wa tawi husika.
Atoe na kuwakabidhi barua. Atulie kwa muda huo.
Kisha baada ta hapo aendelee na utaratibu uliopo kwenye maelekezo.
Sijakuelewa kidogo, una maanisha nini?Wahenga nao...!
Sometimes Wanatuchuuzaga..... !
Umeshawahi kusikia huu msemo Wao 'Eti Marehemu Tajiri'...! Huwa wanamalizia..kuchwe kusikuchwe Atazikwa tu..!
Sasa Wewe ndg Yangu...Mtu tajiri kwenda Kumsainia Mkopo Kbs...Hizo guts Umezitoa Wapi...?
AtakuelekezaVipi gharama za uwakili?
Hapa ndo umeandika jambo la msingi.Maombi ya mkopo si jinai kuwa lazima uadhibiwe hata ukighairi. Aende pale na barua rasmi na bank statement kuwa haitaji tena sababu ya muda mkopo umechelewa mpaka anaandika barua haujaingia na ushahidi ni BS yake. Barua ieleze wazi tarehe aliyoomba mkopo na muda uliopita na haitaji tena sababu dirisha la alichotaka kufanya na hiyo pesa limefungwa na kuichukua hiyo pesa ni kutengeneza non-performing loan.
Wakilazimisha asichukue pesa wala asipeleke marejesho na atoe taarifa BOT kwa maandishi kuwa analazimishwa kukopeshwa watachukua pesa yao.
Duh huo mkopo utakuwa kiboko. Usiokuwa na ada ya mkopo wala bima ya mkopo [emoji1787][emoji1787]Akishapokea hizo pesa azirejeshe tu kama malipo ya mkopo siku hiyo hiyo. Itakuwa haijaanza Riba.
Akimpata mwanasheria mzuri atalipwa damages na hiyo bank!!Wamekiuka masharti ya muda, atafute mwanasheria yanaisha haya
Unakopaje hela kufanyia msiba wakati hayo ni mambo ya harambee tuMsiba ulikuwa wa kakaake huko kwao.
Tena wanatakiwa wamlipe fidia kwa kuchelewesha huo mkopo.anaweza lipwa ata 100M .akiwa na mwanasheria mzuriKwa USHAURI wangu NINAONA aende kwenye Ofisi za mawakili walio karibu yake watamsaidia. Suala hilo ni jepesi sana. Terms zimevunjwa na mkopeshaji mwenyewe Kwahiyo the payments are time barred. Kuna sheria inayoregulate hayo maswala.
Amuone wakili amsaidie chap.
Ni haki yake kuvunja mkataba na Benk,Kwani Benk ndo ameshindwa kutoa mkopo kwa wakati! Awa Sue tu na kudai fidia piaOngea na HR mpe rushwa awaandikie bank umepata shida kazini huwezi kurejesha makato ya mwezi.
Bank wakiona hasara hii watakunyima wenyewe mkopo
Kabisa,Tena sio pesa ndogoAkimpata mwanasheria mzuri atalipwa damages na hiyo bank!!
...Kama hajaanza kukatwa aachane nao. Haina Kazi Tena....!Nimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu.
Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC ili kumsaidia na masuala ya msiba, Tsh milioni 2 hiyo tarehe 29/12/2023.
Kaambiwa baada ya masaa 24 pesa itaingia ila hadi leo tarehe 8/01/2024 pesa hakuna na kwa taarifa ni kuwa, taarifa zake kwa mkuu wake wa kazi zimeishapita kasaini apewe mkopo ila kaambulia patupu hadi leo.
Msiba uliishaisha kwa msaada wa raia wema wakamkopesha akayamaliza huko kwao, sasa ndiyo naongea naye hapa anaomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye mkopo huu hewa.
Msaada kwa huyu ndugu kama ni wa kisheria ajitoe tu kwenye hili janga.