C.Thady
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 589
- 155
Habari zenu wanajamvi,
Pole na uchovu wa leo nimekuwa na mahusiano na huyu mwanaume zaidi ya miezi kumi sasa ananipa kila kitu na mapenzi yote.
Tatizo lilianza pale nilipomuuliza yeye nikisema nikamsalimie kwake anakataa Mmh yani ajabu zaidi siku ya leo ameniweka wazi kuwa yeye ni Frateri.
Anasomea Upadri na anaishi Seminary anaposoma. Kweli nampenda sana kumuacha sio kirahisi na yeye hataki mwingine.
Nifanyeje jamani? Ushauri tafadhali