- Thread starter
- #81
Na wewe upo kwenye kundi la wajinga, ni nani amekwambia JF hamna madaktari?Watu wajinga ka ww sijaona nenda kwa Dr hospital Hapa JF watakuuwa ukizingatia ushauri wao
Na wewe upo kwenye kundi la wajinga, ni nani amekwambia JF hamna madaktari?Watu wajinga ka ww sijaona nenda kwa Dr hospital Hapa JF watakuuwa ukizingatia ushauri wao
Sawa Mkuu, ila nna swali nataka nkuulize lakini kwa njia ya PM, upo tayari? Ni kuhusu dozi hiihii ya P2.Usiende kununua doz nyingne hyo imeshafanya kaz na hawez kuwa na mimba kuhusu uchovu na kutapika ni hzo Dawa znampelekesha tu hata usiogope hata mm nkimeza kuwa zanipelekaga sana napata had kizunguzung na kuumwa kchwa ila mimba sipat xo ondoa shaka
Thank You Mkuu.Hayo ni maudhi madogo madogo tu mkuu, enjoy your day.. No need to worry
mkuu watoto ni baraka si azae tu!Mkuu, Pharmacy walisema kwa kuwa ni tayari tendo limeshafanyika basi ameze tu viwili kwa pamoja.
Sasa Mkuu, kama wamekosea kunielekeza naomba unipe namna sahihi ili nikanunue dozi nyingine.
Mkuu P2 unaweza kumeza mara moja vidonge viwili au kimoja halafu kingine baada ya masaa 12.
Kuhusu kutapika, kama utatapika ndani ya masaa mawili tangia umeze dawa ndio unatakiwa urudie.
Samahan ivi ukishameza p2 na tyr umemwagiwa p2 unaenda kufanya nn tumboni
Yai likishatoka ktk ovary linaingia ktk fallopian tube, hapo litabimbirika mpaka ktk kizazi ili kusubiria mbegu, na likishapokea mbegu linaenda kuketi ktk kuta za kizazi ili mimba ianze kukia.Samahan ivi ukishameza p2 na tyr umemwagiwa p2 unaenda kufanya nn tumboni
Ahaha usiogope Ivyo vimeshafanya kazi yake Kama inavyohitajikaHabari zenu waungwana!
Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda alijihisi miguu kuishiwa nguvu lakini muda huu amesema anasikia uchovu na pia ametapika.
Sasa swali langu Wakuu kwenu ni kwamba, je vidonge vitakuwa vimefanya kazi ama arudie dozi?