Msaada: Amemeza vidonge vya p2 jana ila leo ametapika

Usiende kununua doz nyingne hyo imeshafanya kaz na hawez kuwa na mimba kuhusu uchovu na kutapika ni hzo Dawa znampelekesha tu hata usiogope hata mm nkimeza kuwa zanipelekaga sana napata had kizunguzung na kuumwa kchwa ila mimba sipat xo ondoa shaka
Sawa Mkuu, ila nna swali nataka nkuulize lakini kwa njia ya PM, upo tayari? Ni kuhusu dozi hiihii ya P2.
 
Mkuu, Pharmacy walisema kwa kuwa ni tayari tendo limeshafanyika basi ameze tu viwili kwa pamoja.

Sasa Mkuu, kama wamekosea kunielekeza naomba unipe namna sahihi ili nikanunue dozi nyingine.
mkuu watoto ni baraka si azae tu!
 
Mkuu P2 unaweza kumeza mara moja vidonge viwili au kimoja halafu kingine baada ya masaa 12.

Kuhusu kutapika, kama utatapika ndani ya masaa mawili tangia umeze dawa ndio unatakiwa urudie.

Hizo P2 zinauzwa pesa kiasi gani ?
 
Samahan ivi ukishameza p2 na tyr umemwagiwa p2 unaenda kufanya nn tumboni
Yai likishatoka ktk ovary linaingia ktk fallopian tube, hapo litabimbirika mpaka ktk kizazi ili kusubiria mbegu, na likishapokea mbegu linaenda kuketi ktk kuta za kizazi ili mimba ianze kukia.

Endapo yai bado halijatoka, labda niseme leo ndo siku 13, kesho ndio ya 14 kuanzia siku ile ulipoanza hedhi ndo yai kushuka, p2 itafanya ule ute ambao yai unatumia kuteremkia kushuka ktk kizazi ukauke, hivyo yai kutoweza kushuka teeena.

Pili, endapo kama yai limeshameza mbegu, ukimeza p2 yenyewe itafanya lile yai lisiende kuketi ktk kuta za kizazi ili mimba irutubiwe na tezi husika ambazo zinatoa homoni kuelekea ktk shingo ya kizazi ili mimba ikue. Muda mwingine unakuta damu inaweza kutoka kidogo saaana endapo yai lako linaweza likawa limeshashika mbegu.
 
Habari zenu waungwana!

Shemeji yenu nililala nae juzi saa 5 usiku, jana mida ya saa 6 mchana akameza vidonge vya p2 ila baada ya kumeza alijisikia usingizi na kichefuchefu, pia kuna muda alijihisi miguu kuishiwa nguvu lakini muda huu amesema anasikia uchovu na pia ametapika.

Sasa swali langu Wakuu kwenu ni kwamba, je vidonge vitakuwa vimefanya kazi ama arudie dozi?
Ahaha usiogope Ivyo vimeshafanya kazi yake Kama inavyohitajika
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom