Au kwa faida ya wengine pia ngoja niweke hapa,
A) Hapo Meatu, akija Salum Mbuzi (former mp) kutembelea wapiga kura wake, muombe privacy. Mueleze elimu yako, mwambie shida yako. Nakuhakikishia pamoja na ukorofi wake lakini ni mtu mzuri sana.. Amefungua viwanda vipya na hana profshno staff.. Utapata ajira, hasa akiona wewe ni wa Meatu.. anawajali sana watu wa huko.. au kama unaweza mfate kiwandani kwake, JAMBO.
B) Kuna mgodi unaitwa Mwakitolyo, ni mpya, upo kakola. pale kuna fursa nyingi. Jaribu kwenda.
C) Nenda Maswa, Mwabomba, kuna migodi midogo midogo, dhahabu inapatikana pale, usisikilize maneno ya watu, nenda na nyanja hyo.
D) Jaribu kwenda Mhunze kwenye minada ya mbuzi mara nyingi. Ongea na watu mbalimbali hasa wageni wanaokuja kununua mbuzi kwa jumla, wambie elimu yako.. Nakuhakikishia unaweza kuwa partner na wao.
E) Ili yote hapo juu yafanikiwe, basi penda kusali sana. Muda mzuri wa kuomba Mungu ni saa 8 usiku.. ambapo kila kitu kimetulia na unapigana na nguvu za wachawi ambao ndio muda wao!
BYE