Ntuzu. ..ushauri wako ni mzuri. Ila dar sio kwepesi namna hiyo. Nimekaa huko kwa mwaka mzima...mpaka nikaamua kubeba tofali ili niwe napata pesa ya kula na nauli. Maisha yalikua magumu sana. Ndugu wa Dar wengi ni wachoyo....vyakula wanaona kama unamaliza. Ndugu wa Dar hawapendi wageni kama mimi tegemezi. Wanataka ukienda kwao...ufanye shughuli na ue unarudi usiku sio kukaa kaa tu ovyo. Na ue na uwezo wa kula mtaani.
Hahahaha, GAZETI naona hataki kufunguka kwa faida ya wengi, labda ni moja ya masharti!
pole mkuu!nakufuata kwa PM tuzungumze mawili matatu!
Mkuu Tiba za asili hazina masharti, masharti yapo kwenye TIBA za kienyeji
nilikuwa natazama changamoto ya maswali kutoka kwa mlengwa lakini
naona kanielewa tofauti tena si yeye tu wengi hapa jukwaani hamjanielewa
ni mkakati kabambe ambao nikiumwaga hapa hadharani ndani ya miezi
kumi tu unapata usafiri wako.
Mimi sio mtaalamu wa uchumi but namshukuru Mungu hata baadhi ya hao
wataalamu wengine huja kwangu kwa kutaka msaada wa mawazo. Narudia tena
kuna utofauti mkubwa sana kati ya Tiba ya asili na zile za kienyeji yaani mizimu n.k
Sidhani kama ni dhambi mtu kutumia asali kama dawa ya mtu aliyeungua moto, huu ndio
mfano wa TIBA YA ASILI. Tatizo kiswahili bado kinatusumbua.
Si tatizo, niliangalia matatizo ambayo wengi wanayo yaani nilitumia changamotoNimekusoma mkuu, lakini unajua tatizo la jamaa ni la kiuchumi si la kiafya, sasa unaposema "mtaalam" tu tayari akili za watu zinajua ni kulekule. BTW, usafiri ni nyenzo tu mkuu sidhani kama ni alama ya mafanikio! Vipi unaweza kumwaga kidogo hiyo elimu ya upande wa pili na sisi tukafaidika, au unaweza kuniinbox kama hautakuwa na tatizo na hilo.
Si tatizo, niliangalia matatizo ambayo wengi wanayo yaani nilitumia changamoto
kama daraja hapo nikalazimika kupita kwa waganga kama kumi hivi nikitafuta dawa
ya nguvu za kiume, nililazimika kufanya kazi ya ziada kwa kuzitest wengi walikuwa
waongo lakini hizi za wawili zilikuwa kiboko.
Kwa kifupi....... Nikabandika lebo na kuzipa jina lenye hisia kali.... yaani mfano
Kifaru, Kombora, masafa marefu..... Yaani nilipotia miguu tu hapa Dar... usifanye Mchezo
Mpaka wahindi walikuwa wananifahamu kwa dawa hizo. Nilikuja kununua kiwanja miezi
miwili baadae na nikapata pesa ambayo ilinipeleka DSA sasa hivi inajulikana kama T.I.A
Kwa kifupi ni hivyo. Lakini kwa sasa nimeachana na biashara hiyo niko na mambo mengine
kabisa.

Muhimu sana naomba Tuwasiliane no yangu nitakuPMMkuu Tiba za asili hazina masharti, masharti yapo kwenye TIBA za kienyeji
nilikuwa natazama changamoto ya maswali kutoka kwa mlengwa lakini
naona kanielewa tofauti tena si yeye tu wengi hapa jukwaani hamjanielewa
ni mkakati kabambe ambao nikiumwaga hapa hadharani ndani ya miezi
kumi tu unapata usafiri wako.
Mimi sio mtaalamu wa uchumi but namshukuru Mungu hata baadhi ya hao
wataalamu wengine huja kwangu kwa kutaka msaada wa mawazo. Narudia tena
kuna utofauti mkubwa sana kati ya Tiba ya asili na zile za kienyeji yaani mizimu n.k
Sidhani kama ni dhambi mtu kutumia asali kama dawa ya mtu aliyeungua moto, huu ndio
mfano wa TIBA YA ASILI. Tatizo kiswahili bado kinatusumbua.
Mkuu naomba namba tafadhali unajua kwenye ile TOPIC ya unatakaSi tatizo, niliangalia matatizo ambayo wengi wanayo yaani nilitumia changamoto
kama daraja hapo nikalazimika kupita kwa waganga kama kumi hivi nikitafuta dawa
ya nguvu za kiume, nililazimika kufanya kazi ya ziada kwa kuzitest wengi walikuwa
waongo lakini hizi za wawili zilikuwa kiboko.
Kwa kifupi....... Nikabandika lebo na kuzipa jina lenye hisia kali.... yaani mfano
Kifaru, Kombora, masafa marefu..... Yaani nilipotia miguu tu hapa Dar... usifanye Mchezo
Mpaka wahindi walikuwa wananifahamu kwa dawa hizo. Nilikuja kununua kiwanja miezi
miwili baadae na nikapata pesa ambayo ilinipeleka DSA sasa hivi inajulikana kama T.I.A
Kwa kifupi ni hivyo. Lakini kwa sasa nimeachana na biashara hiyo niko na mambo mengine
kabisa.
Hayajakukuta wewe.me sielewi iyo degree yako inakusaidiaje kupambana na hali ya maisha tofauti na wasio na elimu!
Si tatizo, niliangalia matatizo ambayo wengi wanayo yaani nilitumia changamoto
kama daraja hapo nikalazimika kupita kwa waganga kama kumi hivi nikitafuta dawa
ya nguvu za kiume, nililazimika kufanya kazi ya ziada kwa kuzitest wengi walikuwa
waongo lakini hizi za wawili zilikuwa kiboko.
Kwa kifupi....... Nikabandika lebo na kuzipa jina lenye hisia kali.... yaani mfano
Kifaru, Kombora, masafa marefu..... Yaani nilipotia miguu tu hapa Dar... usifanye Mchezo
Mpaka wahindi walikuwa wananifahamu kwa dawa hizo. Nilikuja kununua kiwanja miezi
miwili baadae na nikapata pesa ambayo ilinipeleka DSA sasa hivi inajulikana kama T.I.A
Kwa kifupi ni hivyo. Lakini kwa sasa nimeachana na biashara hiyo niko na mambo mengine
kabisa.
Ndugu wanajf....nimejaribu kila mbinu za kupambana na maisha kasoro kuiba mpaka sasa sijafanikiwa...ndio kwanza naona maisha yanazidi kua magumu sana.
Anything u mention, nimejaribu bila mafanikio. Is like upo kwenye ulingo wa ngumi na unapigana na Mohamed Ally au Cheka. Kila ukirusha ngumi moja...unamiminiwa 30 za haraka haraka tena zenye maumivu mpaka unaanguka huku damu zikikutoka.
Sasa nimeamua kumuomba Mungu tu...naenda kwenye maombezi mbalimbali. Sometimes nafunga na kuomba...
Nimekua mtu wa kushinda ndani tu. Naona giza tu mbele yangu. Nipo lonely sana. Sina kazi wala kitu chochote cha kuniingizia kipato.
Kazi nimetafuta sana bila mafanikio. Biashara nimefanya pia.
Mpaka sasa sijakata tamaa kuomba ajira na kufikiria mbinu za kupata pesa. But nimekua wa kukaa tu sina uelekeo.
Kwa yeyote aliyewahi kua na hali hii...ilikuaje akajikuta anaanza kupata neema?