Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

Msaada: Aliyewahi kufikia hatua hii- Alitokaje?

Nipo Ng'wanuzi, Shinyanga

you are kidding. huwezi kuwa na degree na usijue unakotoka kunaitwaje. peleka facebook ujinga wako mpk utakapoelimika na ujue unaongea na watu gani. Eti unasema "natoka ng'wanuzi" ndo
panavyoitwa? ------- zako
 
Nilikua najaribu kufanya utafiti kuhusu swala la migodi midogo kama nilivyoshauriwa na sexiologist.


Kiukweli,nimewahi kusotea kwenye migodi mikubwa kama pale nzega na kahama mining. Maisha ya kukaa getini na kumsubiri boss then unampa cv yako.



Kuhusu machimbo madogo.....kwa mtu kama mimi nisiekua na pesa wala kitu cha kuanzia...wamesema hela ya kula haikosi.


Kuna shughuli ndogo ndogo za kuchota maji kwenye troli....na kuchimba. Lakini kwenye kuchimba kuna mambo ya mazingara kidogo. Hilo mimi ndilo nipo tofauti nalo. Mambo ya kichawi na mazindiko...ili mali ipatikane.


Na kuhusu mnada wa Mbuzi.....ni kweli upo. ...na kwa siku ya leo watu mbali mbali wengine from kenya wanakuepo.



Tafadhali, naombeni mnijulishe sehemu nyingine...mfano kiteto na vitunguu...


Koz mpaka usawa huu nina nauli ya sh. Laki moja..naweza kwenda sehemu yeyote tanzania kuanza kutafuta maisha.


Najua nikifika huko...Mungu atajua wapi ntakula na wapi nitalala.
 
Kukosea kwangu sio lazima unitukane. Najua umemaliza kula soseji ndio maana unakua na lugha hizo. Basi nipo Meatu...yaishe mkuu.
 
Kukosea kwangu sio lazima unitukane. Najua umemaliza kula soseji ndio maana unakua na lugha hizo. Basi nipo Meatu...yaishe mkuu.

1. hauko mwanhuzi wala ng'wanuzi wala wapi
2. haujapigika
3. hapo ulipo umelala baada ya bata za jana
4. jf inakuliwaza sana weekend
 
Asante mkuu. Yaishe basi -kiroho safi. Tufanye we ndo bingwa mkuu. Nisamehe kwa kuku hurt ur feelings. Sawa mkuu!!.wabeja sana!!
 
Asante mkuu. Yaishe basi -kiroho safi. Tufanye we ndo bingwa mkuu. Nisamehe kwa kuku hurt ur feelings. Sawa mkuu!!.wabeja sana!!

haya.

in case ulihitaji mawazo, umeyapata mengi toka kwa wachangiaji. sasa jipange
 
haya.

in case ulihitaji mawazo, umeyapata mengi toka kwa wachangiaji. sasa jipange

You are a typical hater. Una roho mbaya na huna msaada wowote kwa jamii zaidi ya kugeuza frustrations zako kuwa matusi.
 
Kumbe Shinyanga. Mimi Nisikushauri Uje Dar Mapema. Lima Viazi Vitamu Vingi Mkuu, Kama Vikiwa Tayari Ni Pm Tuone Namna Ya Kuvisafirisha Vinasoko Kubwa Sana Dar. Tafuta Kamtaj Then Upige Mishe Ya Viazi
umempa wazo zuri sana.
 
siyo kwa nia mbaya ila ubadili mtazamo unapoingia humu. huwezi kusoma primary mpaka ukagraduate ushindwe kujua location yako. au hukumaanisha mwanhuzi?

wewe mzee wa malugala usimtukane mwenzio! Si ndo kwa asili yake inaitwa hivo??? Kwa nhuzi kwa kisukuma ng'wanhuzi ndo waswahili wakaita "mwanhuzi aka ngw'angwesa!!" yupo sahihi msaada wako unahitajika na si matusi!
 
Sawa nimeelewa mkuu. Bora tumemaliza mzozo. Nashukuru kwa kunisamehe pia.
 
Ujue..kuna watu humu hawajui shida. Wamezaliwa kwenye mapiza na masoseji. Huwezi elewa ninachosema au nilichoandika.

Mkuu ni kweli kabisa wapo watu wa aina hiyo. Mm nimekusoma kaka. Ukizaliwa ktk family za kimasikin utjuta kuzaliwa afadhali yako wwe hata unaelimu
 
Au kwa faida ya wengine pia ngoja niweke hapa,

A) Hapo Meatu, akija Salum Mbuzi (former mp) kutembelea wapiga kura wake, muombe privacy. Mueleze elimu yako, mwambie shida yako. Nakuhakikishia pamoja na ukorofi wake lakini ni mtu mzuri sana.. Amefungua viwanda vipya na hana profshno staff.. Utapata ajira, hasa akiona wewe ni wa Meatu.. anawajali sana watu wa huko.. au kama unaweza mfate kiwandani kwake, JAMBO.

B) Kuna mgodi unaitwa Mwakitolyo, ni mpya, upo kakola. pale kuna fursa nyingi. Jaribu kwenda.

C) Nenda Maswa, Mwabomba, kuna migodi midogo midogo, dhahabu inapatikana pale, usisikilize maneno ya watu, nenda na nyanja hyo.

D) Jaribu kwenda Mhunze kwenye minada ya mbuzi mara nyingi. Ongea na watu mbalimbali hasa wageni wanaokuja kununua mbuzi kwa jumla, wambie elimu yako.. Nakuhakikishia unaweza kuwa partner na wao.

E) Ili yote hapo juu yafanikiwe, basi penda kusali sana. Muda mzuri wa kuomba Mungu ni saa 8 usiku.. ambapo kila kitu kimetulia na unapigana na nguvu za wachawi ambao ndio muda wao!

BYE

Big up bro
 
1. hauko mwanhuzi wala ng'wanuzi wala wapi
2. haujapigika
3. hapo ulipo umelala baada ya bata za jana
4. jf inakuliwaza sana weekend

Mahali umelipiwa,gari -----------,mafuta umejaziwa,kazi umepewa,kichwa kikikuuma kidogo umepiga simu kwa mama,nahisi na nyumba utakuwa umepewa ndo maana hujui unachozungumza,kama hujawai fikiwa na hali hiyo kwa nini uchangie si ungekaaa kimya tu.BTW jumapili njema...usiombe yakukute.
 
Ni wakat wa kutuliza nafsi dhid ya vishawishi au tamaa mbaya Muhimu ni kwamba Uko hai na unajitambua bas embu ondoa wazo la kushindwa na kukata tamaa amini haupo kwa bahati mbaya. Zaidi pole najua hiyo khal mateso yake mi pia napitia.
 
wewe mzee wa malugala usimtukane mwenzio! Si ndo kwa asili yake inaitwa hivo??? Kwa nhuzi kwa kisukuma ng'wanhuzi ndo waswahili wakaita "mwanhuzi aka ngw'angwesa!!" yupo sahihi msaada wako unahitajika na si matusi!

Mkuu si vizazi vya mjini hivyo!!!?ng'wang'wana anataka aitwe 2pac almrad kuremba jina,kwao kwa asili hajui kwanini paliitwa hivyo yeye analazimisha paitwe hivi,nilichompendea mleta mada hajataka makuu kampa yy ushindi,safi sana the need Mungu yupo na wewe amini zamu yako ipo ila nikiasi cha kufight huku ukiisubiri kufika.Mungu akubariki na akugeuzie uso wako upate mahitaji unayoyahitaji.
 
Back
Top Bottom