Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Computer ni za chuo zinatumia windows xp sasa ishu inakuja kwamba mtu anaeingiza anaificha keyboad ili tusiifahamu sasa nlikua nauliza kama kuna njia ya kuijua password tukiwa logged in
Labda uibadilishe
Computer ni za chuo zinatumia windows xp sasa ishu inakuja kwamba mtu anaeingiza anaificha keyboad ili tusiifahamu sasa nlikua nauliza kama kuna njia ya kuijua password tukiwa logged in
inawezekana mkuu.unatumia cmdUsimdanganye mwenzio. Haiwezekani kubadili p,word kwa mazingira hayo. Sababu ni kwamba, KUBADILISHA passowrd lazima uweke ile ya zamani kwanza, ndipo uweke mpya unayotaka kuitumia. Sasa mleta mada haijui hiyo inayotumika sasa.
Usimdanganye mwenzio. Haiwezekani kubadili p,word kwa mazingira hayo. Sababu ni kwamba, KUBADILISHA passowrd lazima uweke ile ya zamani kwanza, ndipo uweke mpya unayotaka kuitumia. Sasa mleta mada haijui hiyo inayotumika sasa.

.
hebu ingia CMD
.
alafu fanya hivi
.
anza hapa
.
net user enter
.
net user (jina la mtumiaji) bila blackets enter
.
net user (jina la mtumiaji) shift + F8 enter
.
alafu cheki maisha yanavyoenda............ toka gizan hukooo
.
.
EDUCATION PURPOSE ONLY
hahahahah, siku hizi net user mara nyingi huwa inazingua, utapewa :
System Error 5 has occurred
Access Denied
Labda kwa windows XP ambayo nayo pia sometimes huwa inaleta tabu
hahahah, haya mkuu, mfano, windows 8.1 ambayo imeunganishwa na microsft account, do u think itakua that easy?.
windows 3.1/7/8/8.1/xp/azure
.
zote hizi ina work fresh
.
ndo nakusikia wewe leo
.
angalia feedback za watakao jaribu
utaona hiyo error haipo
.
kama umekutana nayo fanya screenshot tuione
.
.

IMPOSSIBLE!!,
maana pswd iksha wekwa ina badirshwa na kuwa hashes (ndo maana ukweka pswd inaonekana nyota nyota)
sasa uwezekano wa kuzrudsha zle nyota ili zwe ktk "clear text" haupo
SASA MAAJABU NI KWAMBA,
kuzfuta AU kuzbadil ndo inawekana
usimdanganye mwenzio. Haiwezekani kubadili p,word kwa mazingira hayo. Sababu ni kwamba, kubadilisha passowrd lazima uweke ile ya zamani kwanza, ndipo uweke mpya unayotaka kuitumia. Sasa mleta mada haijui hiyo inayotumika sasa.