Msaada: Afya ya uso

Lady

JF-Expert Member
Apr 12, 2010
282
61
Hi,
Naombeni msaada,
mimi nina uso naturally una mafuta kweli na huwa sipaki mafuta kabisa
also poda huwa sipaki cause after few minutes inakuwa imeyeyuka sababu ya mafuta.
Pia nadhani sababu ya mafuta uso hauko smooth una pimples kiasi.
Naogopa kutumia chemicals.
kuna yeyote anayejua natural things i can use to cure my face anisaidie.
Natanguliza shukrani.
 
L

Karibu sana Mgeni wetu...Hapa ndani tuna akina dada wareembo sana na ni SOFT HADI RAHA, NAAMINI watakushauri sana na watakusaidia, na hutajuta kuOMBA USHAURI KWAO...SI UNAWAONA MWENYEWE HAPO JUU?
 
Dada Lady Ngoja aje Cheusimangala atakupa ushauri mzuri utafarijika na kujiachia na uso wako kila mahali,utafurahia kwa nini ulijiunga na JF
Ngoja nimtafute alipo akupe maujuzi...
 
jaribu pia facial ya manjano uchanganye na asali, tumia pia ndimu

scrub ya gnld ni nzuri pia kwa skin type yako, na most of all jaribu tafuta cleanser inayolandana na ngozi yako (oily skin)

sorry am in a hurry but Am sure Cheusi pia atatoa input akija hapa......
 
Kanda uso wako na maji ya moto kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
 
Kanda uso wako na maji ya moto kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.

mmmh sidhani...ila unashauriwa utumie maji ya uvuguvugu au baridi kusafisha uso, kwa sababu uso wako una mafuta ukisafisha na maji ya moto inasababisha kuziba kwa pores hivyo kuzalisha pimples zaidi...kama hutajali jaribu kupitia hii website www.oriflame.com, hawa jamaa wana products nzuri sana...ukivutiwa niPM nikuelekeze namna ya kuzipata

Pia ushauri alioutoa bht utakusaidia
 
http://www.essortment.com/lifestyle/beautyhealthsk_sjrd.htm mpendwa fuata hii link itakusaidia!

kuhusu chunusi,jitahidi usiwe unashikashika uso na mikono yako mara kwa mara sbb mikono yetu inakuwa na bacteria ambao huzidisha chunusi!
wakati mwingine uso ukiuacha bila kupaka kitu kabisa ngozi pia ina react unapata vipele/chunusi usoni!
usimimye vichunusi viache hadi vinyauke vyenyewe ukiminya unapata makovu ynayobaki usoni!
 
Hongera kuwa na uso wenye mafuta. Wataalamu wanasema nyuso zenye mafuta hupata makunyanzi kidogo na huzeeka vizuri ukilinganisha na nyuso kavu, hivyo isikutie shaka sana.(Today's curse;tomorrow's blessing....) Ingawaje ninavyofahamu hakuna tiba maalum ila wataalamu wanashauri ufanye yafuatayo:
- Utumie baby powder- Johnson's baby powder. Ingawaje unahisi haikusaidii ila wataalamu wanasema ndiyo njia mojawapo ya kukausha uso wenye mafuta.
- Usafishe uso wako kwa maji ya moto(siyo moto sana). Hii ni kwa sababu mafuta huyeyushwa na jotoridi la juu kuliko kutumia maji baridi. Pia wakati unaosha uso utumie sabuni nyingi ili kupunguza mafuta. (Hii uwe unafanya mara kwa mara-kisha unapaka baby powder).
- Pia utumie sabuni zinazokausha/kuondoa mafuta kwenye ngozi. Wataalamu wanashauri ununue mildly medicated soaps, clearasil soap au neutrogena oily skin formula.

Ninatumaini kwa njia hii walao utafanikiwa kupunguza tatizo...
 
mmmh sidhani...ila unashauriwa utumie maji ya uvuguvugu au baridi kusafisha uso, kwa sababu uso wako una mafuta ukisafisha na maji ya moto inasababisha kuziba kwa pores hivyo kuzalisha pimples zaidi...kama hutajali jaribu kupitia hii website www.oriflame.com, hawa jamaa wana products nzuri sana...ukivutiwa niPM nikuelekeze namna ya kuzipata

Pia ushauri alioutoa bht utakusaidia

yeah wa kwetu oriflame pia wana products nzuri sana for everyone and all skin types.
 
yeah wa kwetu oriflame pia wana products nzuri sana for everyone and all skin types.

umeona eeeh...kwa kweli ni nzuri, watu wanaotumia ukiwaona utaikubali....pia hongera kwa avatar...imetulia sana...baba mtoto anaitwa nani?..he he
 
Back
Top Bottom