msaaada wafugaji

bigjeff

Senior Member
Oct 25, 2009
111
22
Habari wakuuu nilikuwa na wazo la kuleta INCUBATORS Used sijajua soko lake nyumbani likoje na pia ni mgeni kidogo wahi sector labda ningepata mawazomawili matatu ningeshukuru sana wakuu sina la zaidi asanteni.
 
nakupongeza kwa wazo zuri la kuendeleza sekta ya ufugaji nyumbani...... nakupa moyo endelea mbele
 
Hongera kwa wazo lako, ni kweli sector hii inapanuka utapata soko ila kwanza utupe hint ya size/capacity, price na labda itatumia nini umeme au. Pia jaribu kupata informatio toka SIDO nao nilisikia wanazo wanauza kama walipata wateja au. Binafsi ningependa lakini baada ya muda fulani, ninarekebisha mambo mengine kidogo.
 
Toa specification na bei unayotarajia kuuza ikifika nchini, nami nitakuwa mteja mmojawapo. Ni kweli kuna jamaa wanatengeneza hapa nchini, lakini ni mpaka utoe order.
 
Njoo uangalie locally made zinaendaje on the ground, ziko nyingi. Dsm kuna more than 4 fabricators ninao wajua+arusha+songea.................
 
Mh!! Nakushauri ufanye utafiti kwanza kama kweli utapata soko. Watengenezaji wapo hapa hapa tz, watu wengine wanaleta za china sasa sijui. Labda ulete moja kwanza uangalie kama soko litakuwaje. Mimi mwenyewe ni mfugaji nahitaji ila muhimu pia specs zako uzitoe tuzijue.
 
Waweza kuwasiliana nami ili nikupe "market intelligence" na watu watakao kusaidia kuingia katika soko.
 
Back
Top Bottom