Msaaada wa magemu kwenye pc

Msaaada wa magemu kwenye pc

We sahau games tu kwa sasa, kaa ufanye biashara upate pesa ununue machine yenye uwezo wa kucheza games unazotaka. Yaani 2017 bado unatumia machine yenye 2GB RAM, duh, aisee pole sana mkuu. Hiyo memory hata chrome tu haitoshi, minimum kwa miaka hii ni 8GB, hiyo 2GB labda kama ni simu ila sio laptop.

Tafuta cha kufanya tu upige pesa, concentration yako kwa sasa weka kwenye kutengeneza pesa, kuna njia nyingi za kutengeneza pesa, tafuta moja wapo inayokufaa komaa nayo mwanzo mwisho, achana na games kwanza maana hiyo laptop yako labda kama unataka kucheza Super Mario.
 
mkuu hapa labda utafute mashine used, huwezi pata gaming laptop kwa bei hii, tafuta angalau gpu ya nvidia yenye namba 5 katikati kupanda kama vile 550,560,570 etc 650,660,670 etc 750,760,770 etc, 950, 960,970 etc 1050, 1060, 1070 etc bei hio mkononi utapata.

au hapo kwa mpya tafuta i3 7100u hii gpu yake ya ndani kidogo ina mabavu itacheza hizo games kwa low setting. sema sina uhakika kama inapatikana kwa hio laki 7, maybe 750 au 800 utaipata.
 
Mkuu ko nikitaka gaming laptop niandae shingap..??? Nisaidiena specification kabsaa
 
uhakika ni milioni 1.5 kupanda, soecification ni processor za quadcore za i5 au i7 na gpu nilizokutajia hapo juu. ram atleast 8GB, kioo cha full HD, na kibongo bongo ikiwa na sehemu mbili za kuekea HDD inapendeza zaidi.

brand/laptop maarufu kwa budget hio ni kama
-dell inspiron 15 series
-lenovo y50
-Acer E5
 
Asante sana bosi
 
Game la draft ambalo unawavua nguo mademu msaada pliz mwnye link
 
Mimi natafuta Game la Ndege lenye Graphics nzuri

Mwenye nalo au anutupie link nishushe
 
Game la draft ambalo unawavua nguo mademu msaada pliz mwnye link
Mkuu eeh naomba nitajie jinaa movie ambayo amecheza uyo actor wa avatar yko..movie yenyewe inaoneshwa itv jmanne..nataka niitafute yote ..maana siijui gna lke
 
Chuno/slave hunters
Tree with deep root
Tazza
Iris 2
Voice
Dae mang/great ambition
Fated to lov u
Shine or go crazy
 
Nifanye nn kwa wale waataalmu wa pc game.... Game nying pc yangu hai. Meet minimum requirements naweza fanya ktu gan ili niweze kuzchezaa na sasa sina pesa ya kununua pc yenye uwezo mkubwaa
ni vizuri ukatafuta emulator ya ps2 na psp itakusaidia kucheza games nying

psp games on pc - YouTube
pia tumia 3Danalyzer kucheza games za pc ambazo pc yako haiwezi kuzicheza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom