gize
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 202
- 134
Wadau heri ya mwaka mpya
Tangu jana PC yangu kila nikiiwasha inaniletea icon ya kuonyesha kuna error hii QtNetwork4.dll licha ya kwamba nikiicancel pc inaendelea kufanya kazi vizuri tu.. sasa nimejitahidi kugoogle software ya kuondoa hii kitu nimekosa kama kuna anayejua jinsi ya kuindoa tafadhali anisaidei.
Shukrani kwenu.