Mkuu bado sijakuapata..Wapendelevu nyinyi hivi wengine hamuwaoni na yule wa ephen_ aliishia wapi
Hapo nimeelewa sasaAnalyse alishapona na uzi wake ulitembea sana. Yupo mbona humu
Nitakuroga ahh aa ahhhh 😂😂💔Weee mchawi 😂😂😂
😂😂😂😂🤐 Nipe limbwataNitakuroga ahh aa ahhhh 😂😂💔
Nitumie dawa kukuroga au ntumie nanilii Ile dah meisahau jina🤪🤪🤪😂😂😂😂🤐 Nipe limbwata