Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
12,904
25,160
downloadfile-51.jpg

Wakuu nawasalimia wote, Jana jioni rafiki yetu Ms Leejay49 alitusambazia upendo na watu wengi tulifurahi pamoja na wengine wenye roho zao nyeusi wakaanza kuanzisha nyuzi za mafumbo kupinga kile kinachofanywa na hawa Dada na rafiki zetu Bantu Lady na Ms Leejay49 .
Kipindi cha Nyuma nilishawahi kumuanzishia uzi Leejay49 kumpa compliments zangu. Huyu mwenzetu leo anafanyiwa upasuaji wa Jicho na Sikio. Mimi naamini kila kitu kitakuwa sawa. Kwanza huyu Mwenzetu kwa muda mrefu amekuwa akipitia changamoto ya Kiafya lakini still alikuwa haonyeshi hofu wala unyonge wa kutia tia huruma. Na toka kipindi cha nyuma aliandika humu kuelezea hilo tatizo linalosababisha leo afanyiwe operation. Siku zote amekuwa humu akianzisha nyuzi, akitu bless na vocha hata PM anakurushia tu hana baya, watu wanamchongea kwa Mods anapigwa ban na bado anarudi na tunaendelea kufurahi pamoja. Ana roho ya Kijasiri sana Ms Leejay49 pamoja na Changamoto ya kiafya aliyokuwa nayo lakini aliificha kwa kujichanganya na Sisi humu pale kwenye kufurahi tulifurahi sote, kwenye huzuni tulihuzunika, pale walipo sutana na Yeye kama Binadamu alirusha madongo. 😃

Sina mengi ya kuandika , kokote uliko Ms Leejay49

🧎‍♂️🤲🏼"Nakuombea upate nafuu haraka.

❤️Uwe na nguvu na moyo wa ujasiri katika kipindi hiki cha changamoto.

❤️""Pole na hali unayopitia, lakini ninaamini utaimarika na kurudi kwenye hali yako ya kawaida hivi karibuni.""

❤️Nakuombea uponyaji wa haraka na urejee kwenye hali nzuri ya afya.""

🤲🏼Binafsi Niko nawe katika sala na mawazo. Pumzika vizuri na upone haraka.""

Natumai siku zako zijazo zitajawa na afya njema na furaha. Upone haraka."

#UponeHarakaLeejay49❤️❤️❤️
 
#UponeHarakaLeejay❤️❤️❤️
Ameen
 
Yaan humu JF watu hawakuagi... Wana utoto kama wa kipindi kile shule... Hasa montress Kwenda kuchongea darasa kwa mwalimu, eti "wanapiga kelele... Hawasikii, na mitihani inakaribia" mwalimu akija ni mikwaju tu darasa zima, tena anarudia raundi. Akichoka anaita wenzake. Ndo mambo ya humu kuchongeana kwa mods, wakija wanatupiga ban sisi watukutu.

Anyways! Yuko hospital gani huyo bi. Dada na ward ipi?
 
Back
Top Bottom